Je, ni lazima nahodha wa Taifa Stars awe ni Mbwana Samatta?

Kwani nani kasema captain upewe mchezaji mwenye kiwango bora.

Hata kwa mchezaji wa kawaida tu anaweza kuwa captain kwahiyo usishangae kwa sammatha
Mkuu Sammatha ni demu wangu, au ulimaanisha Sammata ?!

So far, najilaumu kuwaunfollow Villa.
 
Mbwana kwenye timu ya taifa anarukaruka tu! Tunapoteza kodi zetu bure kumlipia nauli kuja timu ya taifa
ndo ukweli ila mfano awekwe benchi au asiitwe kwenye timu ya taifa huyo kocha anaweza hata kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi
 
ndo ukweli ila mfano awekwe benchi au asiitwe kwenye timu ya taifa huyo kocha anaweza hata kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi
Huyu kapita Simba
 
Huyu kapita Simba
kupita simba siyo ishu ,hata kwa sasa wachezaji wazuri ni simba ,lakini hakuna ulazimisha wa kumchezesha samata ,kuna mechi za kimataifa wachezaji wa ndani samata hakwepo taifa stars walikuwa wanashinda hata watu wakamwona msuva ndo nzuri zaidi,Samata anacheza kibishoo sana awe anaingizwa Dk 20 zikibaki
 
Ni kwakuwa hatuwapi nafasi akina Mzamiru, Waziri junior lakini wangeweza kuleta matokeo kuliko Samatta. Kwangu mimi Msuva anapigania timu kuliko Mbwana. Ni Heri unahodha akapewa Msuva Mara 200
kwani matokeo hayakupatikana Mkuu??
 
Timu kapte ni mmoja wa wachezaji ambaye amechaguliwa kuwa kiongozi wa wachezaji wenzake dhidi ya timu pinzani. Miongoniwa vigezo mubimu vya kumchagua timu kapteni ni
1. Kuwa mwenye uzoefu zaidi (anaweza kuwa na umri kubwa zaidi ya wenzake pia)
2. Awe na sifa za uongozi ie commanding language lkn yenye ushawishi na sio kufoka tu
3. Awe na sifa ya ushawishi mkubwa dhidi ya wachezaji wenzake ndani na nje ya uwanja
4. Awe mzalendo hasa ktk kujitoa kupata matokeo mazuri

Je hizi sifa Samata anazo au yupo mwenye zaidi ya sifa zinazomzidi Samata!?
 
Mbona alilimwa kadi ya njano na mwamuzi wakati akifanya kazi ya ukaptain? Alikosea wapi.

Kazi mojawapo kubwa ya captain Ni kujilipua uwanjani ili matokeo yapatikane. Kazi ya kiongozi Ni kuunganisha watu, kushawishi na kuongoza njia. Mbwana anajilipua?
 
Ni kwakuwa hatuwapi nafasi akina Mzamiru, Waziri junior lakini wangeweza kuleta matokeo kuliko Samatta. Kwangu mimi Msuva anapigania timu kuliko Mbwana. Ni Heri unahodha akapewa Msuva Mara 200
Mzamiru nguvu nyingi tu akili kisoda...hakuna kitu mule,kuhaha uwanjani kama kuku alokatwa kichwa si kujua mpira
 
Tatizo stars ni Simba iliyochangamka..subilini Tunisia waje wawaoneshe ...dadek
 
Mzamiru nguvu nyingi tu akili kisoda...hakuna kitu mule,kuhaha uwanjani kama kuku alokatwa kichwa si kujua mpira
We mjinga Kama wajinga wenzako wengine tu, mzamiru anaweza kuliko mchezaje yeyote utopolo fc!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…