Je ni Lazima uandikishwe GPSA ili ufanye biashara ya bima na taasisi za Serikali?

Je ni Lazima uandikishwe GPSA ili ufanye biashara ya bima na taasisi za Serikali?

newazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
904
Reaction score
907
Wakuu nimetoka kuonana na mkuu mmoja , PMU wa educational institute ya serikali. Nimekuwa nafuatilia tender kwake ya bima kwa muda sasa. Leo, nilipokutana naye akaniuliza kama mimi kama agent nimejiandikisha GPSA, ambayo bado sijafanya kwa vile muda ulishaisha.

Swali ni kwamba, je kwa upande wa biashara ya bima,kweli agent, broker au insurance company wanatakiwa kujiandikisha ili kufanya biashara na serikali?anayetakiwa kujiandikisha ni nani? Ni insurance company, broker au agent?

Je ni kweli insurance companies zinatakiwa ziandikishwe GPSA?

Naomba ushauri na ufafanuzi.
 
Kazi ya GPSA ni kushort list na kuingia mikataba na wazabuni mbali mbali wanaofanya biashara ambazo bidhaa zake ni common used items kwa selikali, kwa mfano stationary, computer na jamii zake. pia huduma kama ulinzi, usafi, huduma za ticket nakadhalika. sina uhakika sana na insurance lakini ukiangalia pia ni huduma ambayo ni common. Kwa hiyo kinachofanyika ni kampuni inayotoa huduma kushindana kwa njia ya zabuni inayotangazwa na GPSA kisha wanakuwa evaluated na washindi wanasaini mikataba kati ya mwaka au miaka miwili.

Kwa hiyo kama biashara yako ni common used item au service ni kampuni ile iliyosaini mkataba na GIPSA ndio inatambulika kufanya kazi.
 
@ Gamaha.

Asante kwa ufafanuzi.

Nafikiri nitacheki na insurance company yenyewe.
 
Back
Top Bottom