Je ni lini kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku mchana ?

Kyela Kyela loooooooo! Hakuna sehemu wanakata umeme duniani Kama Kyela! Sitasahau hyo wilaya milele! Nilikaa huko napajua, huwa nawaambia watu ukitaka kujua namna uneme ni shida, nenda Kyela. Pole mkuu.
Nafikiri ni Mbeya yote. Hali kadharika Wilaya Ya Chunya, too much.
 
Naomba kuwasilisha
Shida ya Umeme Kyela , sakata la Mango Tree , soko la Cocoa , shida ya maji na Aibu ya Kipindupindu , ndiyo vimenifanya mimi nirudi nyumbani kuchukua Ubunge 2025 siyo kugombea , ni kuchukua , Kwa sababu hakuna mwanaccm wa kunishinda , Akajapo najumo naloli kangi , Mwakyembe ikundila fijo ulwa Kindingo .

Huyu mbunge wa sasa Mlagila Jumbe haniwezi hata kwa nini .

Nisile ne mwanenu bha tata , ndaga muhangajike na abhalumyana abha matingo abho bha Jumbe , ndaga fijo bha jubha mutukunyike na misi , ulu DANIDA akajapo po mukunwa Kibira na Mbaka na Songwe , nisile lelo ne mwanenu uju mwaliswilile jujumwe
 
Shida ya Umeme Kyela , sakata la Mango Tree , soko la Cocoa ndiyo vimenifanya mimi nirudi nyumbani kuchukua Ubunge 2025 siyo kugombea , ni kuchukua , Kwa sababu hakuna mwanaccm wa kunishinda , Akajapo najumo naloli kangi , Mwakyembe ikundila fijo ulwa Kindingo .

Huyu mbunge wa sasa Mlagila Jumbe haniwezi hata kwa nini .

Nisile ne mwanenu bha tata , ndaga muhangajike na abhalumyana abha matingo abho bha Jumbe , ndaga fijo bha jubha mutukunyike na misi , ulu DANIDA akajapo po mukunwa Kibira na Mbaka na Songwe , nisile lelo ne mwanenu uju mwaliswilile jujumwe
Nitasafiri kutoka mbali kuja kukupigia kampeni kikubwa andaa pombe za kutosha baada ya mimi kushinda napiga makelele juani .

Ngoja nimstue mwanangu Mwambukusi ili awe nyuma yako pia

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mhhhh......!!!! Sidhani, na ile laana ya Mwakyembe? Labda mkamuombe radhi, aliwatumikia vizuri, mkamlipa matusi
 
Mwakyembe aliitumikia Kyela vizuri kwenye nini ? Barabara ya Ikolo ilichongwa na halmashauri kwenye mazishi ya Mke wake ili kuficha aibu , maana kulikuwa na wageni wengi kutoka D'Salaam
 
Shida ya Umeme Kyela , sakata la Mango Tree , soko la Cocoa , shida ya maji na Aibu ya Kipindupindu , ndiyo vimenifanya mimi nirudi nyumbani kuchukua Ubunge 2025 siyo kugombea , ni kuchukua , Kwa sababu hakuna mwanaccm wa kunishinda , Akajapo najumo naloli kangi , Mwakyembe ikundila fijo ulwa Kindingo .

Huyu mbunge wa sasa Mlagila Jumbe haniwezi hata kwa nini .

Nisile ne mwanenu bha tata , ndaga muhangajike na abhalumyana abha matingo abho bha Jumbe , ndaga fijo bha jubha mutukunyike na misi , ulu DANIDA akajapo po mukunwa Kibira na Mbaka na Songwe , nisile lelo ne mwanenu uju mwaliswilile jujumwe
Utamuweza mwakalinga wewe
 
Utamuweza mwakalinga wewe
Mwakalinga mwambieni kwamba ubunge siyo Mkongojo wa kutembelea Wazee , Amestaafu kazi maana yake kazeeka , halafu yale majengo ya Hostel za UDSM yale ya Expansion Joint hatujasahau .

Kama ni uchawi ni kweli simuwezi lakini kwenye siasa hana lolote , halafu mtu ambaye hajawahi hata kuwa mjumbe wa shina unamuogopaje ?
 
Kyela na nchi nzima mtapata umeme masaa 24 siku 7 za wiki na miezi 12 kwa mwaka endapo tu ccm itafutwa ktk ulimwengu huu.
 
Mwakalinga mwambieni kwamba ubunge siyo Mkongojo wa kutembelea Wazee , Amestaafu kazi maana yake kazeeka , halafu yale majengo ya Hostel za UDSM yale ya Expansion Joint hatujasahau .

Kama ni uchawi ni kweli simuwezi lakini kwenye siasa hana lolote , halafu mtu ambaye hajawahi hata kuwa mjumbe wa shina unamuogopaje ?
Kaka we gombea ubunge mi ntagombea udiwani kwetu ngonga
 
Back
Top Bottom