Je ni lini kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku mchana ?

Mwakalinga sijui kama anawazo la ubunge yule ni mstaarabu sana
 
Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Hali hiyo nimeiona wilaya ya Kaliua mkoani Tabora. Aisee kule Tanesco nadhani wanajua kukata umeme tu.
 
Ileje
Ileje
Ileje
Hii wilaya ina matatizo karibia kila idara.
Umeme kukatika kwa Ileje ni kila siku.
Maji kwenye mabomba ni machafu Na ni matope kabisa.

Huduma katika ofisi za serikali ni mbovu sana.
Ileje
Ileje ni sheeeeedaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…