Je, ni madhara gani ya ukubwa wa uume?

MPEKENYELA

Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
28
Reaction score
65
Habarin wadau? NI Matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu...! Nianze na kusema kumekuwa na matangazo mengi mitandaoni ya madawa ya kuongeza ukubwa wa maumbile na nguvu pia mtandaoni! Wengine wakijinadi dawa na za asili na hazina madhara...! Je Kuna dawa za asili zinazoongeza maumbile...? Je Kama zipo Zina madhara gani na faida gani? Je ni mhimu kufanya hivo? Pia baadhi ya wanawake wamekuwa wakijinadi kuridhika na uume mkubwa! Kama ndivyo watu went maumbile madogo waende wP? Je ni kweli wanawake wote huridhika na maumbile makubwa? Kama so wote kwa nn? Naomba kueleweshwa tu! Niwatakie kazi njem
 
Utashindwa kuvaa modo/nguo zinazobana wewe kijana wa Daslamu.
 
Baada ya wanawake kuongoza kuwa na makalio feki, record hiyo inavyunjwa na wimbi la wanaume ambao asilimia 90 wana uume feki (wakichina).
 
Kwanza kumbuka kuwa Hakuna dawa ya kuongeza ukubwa wa Mboo.
Ni Stori tu lakini hakuna ushahidi wowote kuwa kuna Mtu kaongezeka ukubwa wa Mboo kwa kutumia dawa.
 
Kwanza kumbuka kuwa Hakuna dawa ya kuongeza ukubwa wa Mboo.
Ni Stori tu lakini hakuna ushahidi wowote kuwa kuna Mtu kaongezeka ukubwa wa Mboo kwa kutumia dawa.
Kuongeza ukubwa inawezekana, ila kuna mambo mfano kama source ya huo uume kuwa mdogo ni kujitakia basi itaongezeka kwa kiwango fulani
Ila kama ni maumbile yenyewe tu kuongezeka sidhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…