MPEKENYELA
Member
- Mar 7, 2019
- 28
- 65
Habarin wadau? NI Matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu...! Nianze na kusema kumekuwa na matangazo mengi mitandaoni ya madawa ya kuongeza ukubwa wa maumbile na nguvu pia mtandaoni! Wengine wakijinadi dawa na za asili na hazina madhara...! Je Kuna dawa za asili zinazoongeza maumbile...? Je Kama zipo Zina madhara gani na faida gani? Je ni mhimu kufanya hivo? Pia baadhi ya wanawake wamekuwa wakijinadi kuridhika na uume mkubwa! Kama ndivyo watu went maumbile madogo waende wP? Je ni kweli wanawake wote huridhika na maumbile makubwa? Kama so wote kwa nn? Naomba kueleweshwa tu! Niwatakie kazi njem