Je, ni masharti gani umewahi kupewa na mpenzi wako mpaka ukajiuliza huyu ananichukuliaje?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uvinza kila siku,unyonye mpaka akojoe,baadae nkaanza kuhis ntakuja kuugua kansa ya koo
Hapana mkuu....hakuna utafit. Wa uhakika ...kuhusu kuzama chumvin....+. Kansa ya koo
 
Mkuu....ulipenda UA......ilibidi upende boga lake
 
Mimi aisee I love watching soccer vibaya mno, sasa kuna uyo demu alitaka kuzidi boundaries eti nisiende kuangalia game ya man u akanambia Leo nataka nijue unampenda nani zaidi mm au mampira yako
Aisee nikamwambia we ngombe inaanza man u ndo unafata wewe afu you can't say jump and i jump basi kakaanza kulia pale na Mimi vile nimerogwa na man u nikamwambia babe nakuja saaiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…