Je, ni mashira gani yanapokea mipango ya biashara (Business Plan)

Je, ni mashira gani yanapokea mipango ya biashara (Business Plan)

SiliconValley

Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
56
Reaction score
59
Wana jamvi poleni na majukumu yenu kwa pamoja. Naomba kufahamishwa au kuelekezwa ni mashirika yapi naweza kupeleka business plan yangu na angalau ikafanyiwa kazi kama si kukubaliwa na kupata ninachohitaji.
Natafuta jinsi ya kuchakata mazao ya kilimo na kuongeza thamani, nimeshafanya baadhi ya hatua lakini ningepata sehem na kupata fund kwa uelewa, uwezo na uzoefu wangu naamini M.Mungu hatonitupa.
Pamoja na michango yenu lakini ninavutiwa sana na taasisi ambazo sio za serikali. Bali taasisi zisizo za kiserikali.
Wasalaam karibuni na mwanzo wa kutoa hoja
 
Kabla hujafanikiwa umeshaanza kuchagua sijui serikali, sijui binafsi

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Expirience is a good teacher. Huko nilishatoka na wao pia wanashida ya fund mbali na ukiritimba uliopo, ndiyo maana nimejaribu plan B. Pia ktk michango ya mawazo usiwe too negative au usipanic. Everything is happen for a reason.
 
Jaribu EFTA mkuu, hapa utapata kama mkopo usiohitaji dhamana.

Wewe ingia google andika EFTA Tanzania Watakuletea taarifa zao
 
Back
Top Bottom