It's very painful.zidisha maombi
Leo ni siku yako ya kuzaliwa?Aisee hii kwangu toka nmejitambua hii siku Huwa inanikuta Sina pesa je ni Mimi tu hii Hali hunitokea?
Njooni mtoe ushuhuda wakuu
Wewe ni KE au ME?Aisee hii kwangu toka nmejitambua hii siku Huwa inanikuta Sina pesa je ni Mimi tu hii Hali hunitokea?
Njooni mtoe ushuhuda wakuu
Azidishe maombi au azidishe kufanya kazi??zidisha maombi
Ni march 23 haijawahi kunikuta na kituHeri ya siku ya kuzaliwa,,,
inawezekana huna utaratibu wa kufurahia siku yako ya kuzaliwa hata budget kuhusu hilo huna.
Hebu anza kuweka kibubu mwakani tukate keki tukumwagie na ndoo ya maji.
Hakuna mwanaume halisi anayeshobokea habari za siku ya kuzaliwa hizo ni issue za watoto wa kike.Mwanaume haswa vipi unataka kuolewa bibie?