Je ni mimi tu ambae siku yangu ya kuzaliwa hinikuta sina pesa?

Je ni mimi tu ambae siku yangu ya kuzaliwa hinikuta sina pesa?

hiyo ni kila mtu tu kwa wale malegend amabayo tangu wanazariwa mpak leo hawajawahi kununua keki wala kuletewa keki ya birthday achilia mbali kufanya party

nipe 5 legend nami nikurushe mpk kuchweeee
 
Heri ya siku ya kuzaliwa,,,
inawezekana huna utaratibu wa kufurahia siku yako ya kuzaliwa hata budget kuhusu hilo huna.
Hebu anza kuweka kibubu mwakani tukate keki tukumwagie na ndoo ya maji.
 
Heri ya siku ya kuzaliwa,,,
inawezekana huna utaratibu wa kufurahia siku yako ya kuzaliwa hata budget kuhusu hilo huna.
Hebu anza kuweka kibubu mwakani tukate keki tukumwagie na ndoo ya maji.
Ni march 23 haijawahi kunikuta na kitu
 
Back
Top Bottom