Je, ni Mkoa upi wenye mzunguko mzuri kwa Saloon ya wanawake?

Sawa mkuu nimekupata

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mimi nakatisha usiku mitaa ya Uhuru,mtakuja,Lumumba na mingine kedekede kuna masaluni ya kike mengi na wateja wapo halafu na mengine yanafunguliwa wewe unataka ukimbie....Unajua idadi ya watu wanaopita kwa siku makoroboi mkuu.... Wanawake wengi sana kule na ndio maana wauza nguo za kike wamejazana kule... Kamuulize msafisha kucha tu wa pale anakamata shingapi per day... Sembuse saloon... Wewe unachokosa ni uthubutu halafu unaogopa... Basi nenda mitaa ya kitangiri,pasiasi buzuruga na kwingine coz huko kumetamalaki barbershops tu saluni za kike za kisasa si nyingi... Huko unapotaka kukimbilia kuna ambao wamepanga wapakache waende mji kama mwanza wenye soko,mtapishana tu... Kwan hujawahi pita sehemu ukakuta maduka ya nguo yamepangana tu au ya simu hadi ukajiuliza wanapataje faida ila kajaribu kuwauliza.
My take; Usihame huo mji pamechangamka mno,jaribu kujitanua maeneo ya pembeni kidogo kama unaona maeneo ya city center kuna competition.
 
Mkuu yaan sehemu nyingi zipo saloon afu hata wasio jua na wanaojua wote humo humo.

Kingine wateja wamefocus zaidi makoroboi na watoa huduma wapo kibao mitaa hiyo


Sasa ww hapo ndo pakutokea...weka kitu tofauti nawanaoenda huko makoroboi...!.usikimbie changamoto bali kabiliana nazo!kila la heri
 


Sure mkuu Mwanza pamechangamka sema wajanja naona wachache. !kina Rosly saloon wanapga pesa hatari..ukisikia from zero to hero ndo huyu dada wa hii saloon!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…