Je, ni mkono wa mtu?

Sina haja ya kusalimia
Wewe ni mshari. Ukisalimia watu unapungukiwa nini?
Nyie ndiyo wale huwa hamsalimii watu sasa linapokuja kwenye suala la kusaidiwa kila mmoja anakuacha.
Nina mfano hai wa jamaa mmoja, ana hasira muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…