Je, ni mtazamo wangu tu au?

Je, ni mtazamo wangu tu au?

the numb 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2020
Posts
1,562
Reaction score
2,902
Sijui niseme maisha ni magumu sana au sijui niseme utandawazi!!! Kwanini mabinti wa vyuo wanakuwa warahisi sana kutongozeka!

Yan ukigusa imooooo tena ukiwa mwepesi kama lionel messi aloooooo haichukui hata siku mbili yupo geto sasa hapo ukiwa na meno kama ya fisi yaani unakula tu mifupa kwa mrija.

Tena usilogwe ukawapeleka magetoni tena karoom kako kawe kasafi utagandwa mpaka uimbe haleluyaaah.
 
Sio wote mkuu.
Huwezi amini kuna manzi nilimfuatilia semister mbili na sikumpata
Mi miaka mitatu mizima mpaka tunakaribia kugiradyueti ndo akanionea huruma akanipa kwa masharti kuwa nisimsumbue tena wala kumfuatilia. Ajabu sasa nilipiga shoo mbovu sijawahi ona mpaka akaniuliza: miaka mitatu mizima unanihangaisha na mambo menyewe ndo haya?

J popote ulipo, sitakaa nikusahau dadeki [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pole mkuu [emoji28]
 
Swala la urahisi wa manzi inategemea na hulka yake binafsi, sio lazima awe chuo ndio atakua mrahisi mkuu maana hata mtaani wapo pia

Sema mazingira ya chuo yanampa support kuonyesha hulka yake maana anakua huru tena mbali na familia, akiwa nyumbani anaweza kua na hulka hiyo ila mazingira yasimruhusu kufanya hivyo kutokana na malezi

Mfano kutoka home kuja kukupa mechi wengine ni ngumu sababu akitoka lazima ieleweke anakwenda wapi na atatumia muda gani so kwavyovyote utaona kama anakaza kumbe ni mazingira, ila Akiwa chuo ni utawala wake binafsi ataamua mwenyewe muda wa kuingia na kutoka

Ni swala la mazingira tu ndio humfanya aonyeshe uhalisia wake
 
Sijui niseme maisha ni magumu sana au sijui niseme utandawazi!!!kwanini mabinti wa vyuo wanakuwa warahisi sana kutongozeka!!

Yan ukigusa imooooo tena ukiwa mwepesi kama lionel messi aloooooo haichukui hata siku mbili yupo geto sasa hapo ukiwa na meno kama ya fisi yaani unakula tu mifupa kwa mrija

Tena usilogwe ukawapeleka magetoni tena karoom kako kawe kasafi utagandwa mpaka uimbe haleluyaaah
Daaah tuendelee kuomba tu Mungu atunusuru na hili
 
Swala la urahisi wa manzi inategemea na hulka yake binafsi, sio lazima awe chuo ndio atakua mrahisi mkuu maana hata mtaani wapo pia

Sema mazingira ya chuo yanampa support kuonyesha hulka yake maana anakua huru tena mbali na familia, akiwa nyumbani anaweza kua na hulka hiyo ila mazingira yasimruhusu kufanya hivyo kutokana na malezi

Mfano kutoka home kuja kukupa mechi wengine ni ngumu sababu akitoka lazima ieleweke anakwenda wapi na atatumia muda gani so kwavyovyote utaona kama anakaza kumbe ni mazingira, ila Akiwa chuo ni utawala wake binafsi ataamua mwenyewe muda wa kuingia na kutoka

Ni swala la mazingira tu ndio humfanya aonyeshe uhalisia wake

Okkk
 
Back
Top Bottom