Je, ni muda sasa wa Ronaldo kustaafu?

Je, ni muda sasa wa Ronaldo kustaafu?

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
RONADOZ.png
Mwanzoni Ronaldo alipojiunga na timu ya Al-Nassr huko Saudi Arabia niliona future kubwa kwake na kwa timu yake kwani aliingia na impact kubwa sana kwa timu hiyo. Alitupia mabao almost kwenye kila mechi na kuifanya timu yake kuendelea ku-shine pale kileleni kwenye msimamo wa ligi yao. šŸ˜‚šŸ˜‚Hata mikeka yangu pale Sokabet ilitiki sana kipindi iko!

Ila yanayoendelea sahivi nabaki nashangaa:

āŒ Al-Nassr Wametolewa kwenye Riyadh Super Cup
āŒ Al-Nassr Wametolewa kwenye Saudi Super Cup
āŒ Al-Nassr Wametolewa kwenye nafasi ya 1 kwenye msimamo wa ligi yao
āŒ Al-Nassr Wametolewa kwenye Saudi King Cup

Unadhani ni muda sasa wa Cristiano kustaafu?
 
kama anatupia kila mechi kwanini astaafu?,bado ananguvu za kucheza acha abunye mihela ya waarabu.

kwanza cr7 kasajiliwa ligi ya Saudia kimkakati kuna kitu Saudia wanataka wafanye kwenye ulimwengu wa soka.
 
There is loneliness at the top that why Lamborghini has two seat.
 
Back
Top Bottom