Ila yanayoendelea sahivi nabaki nashangaa:
โ Al-Nassr Wametolewa kwenye Riyadh Super Cup
โ Al-Nassr Wametolewa kwenye Saudi Super Cup
โ Al-Nassr Wametolewa kwenye nafasi ya 1 kwenye msimamo wa ligi yao
โ Al-Nassr Wametolewa kwenye Saudi King Cup
Unadhani ni muda sasa wa Cristiano kustaafu?