Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

Hana mpinzani. Kwa upande wa wanaume nadhani Wanya Morris wa Boyz II Men ni balaa zaidi.
Huyu jamaa ana sauti ya kipekee sana yaani anjua kulalamika kwenye verse sio poa,mcheki kwenye I'm doing just fine na end of the road anavyo lalamika na voice wander yake🔥🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…