mwimbaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwimbaji nguli wa muziki wa Country, Dolly Parton amefariki dunia

    Mwimbaji nguli wa muziki wa country Dolly Parton, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80, Mpwa wake ametangaza taarifa hiyo kupitia video iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa huyo. Pamoja na kwamba taarifa ya kifo chake haijataja chanzo cha kifo wala mazingira yake, kifo hicho...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mpigieni na Mabondo, mwambieni aache kuruka na mafundo. Mwimbaji Rose Mhando.

    Siku mkipata nafasi ya kumhoji huyu Nguli wa nyimbo za injiri.Muulizeni nini kilimkuta siku alipofika Kibondo kueneza injiri. Muulizeni kuhusu mwamba wa kuitwa Mabondo, hadi akamuimba na kuwatuma watu wamwambie aache kuruka na mafundo kwenye wimbo wake wa Agenda. Hiki chuma cha kuitwa Mabondo...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji na YouTuber wa Rwanda Aimable Karasira amefariki dunia wakati akiachiwa huru kutoka kizuizini mjini Kigali

    Mwimbaji na YouTuber wa Rwanda Aimable Karasira amefariki dunia wakati akiachiwa huru kutoka kizuizini mjini Kigali, Huduma ya Magereza ya Rwanda (RCS) imethibitisha. Katika taarifa yake, RCS inasema Karasira alifariki katika Hospitali ya Nyarugenge baada ya kudaiwa kunywa dozi ya kupita kiasi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji D4vd akamatwa kwa Mauaji ya binti wa Miaka 14

    Mwimbaji wa Marekani, D4vd, amekamatwa kwa tuhuma za kumuua binti mwenye umri wa miaka 14 ambaye alitoweka mwaka jana. Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa chini ya uchunguzi na jury kuu baada ya mabaki ya Celeste Rivas Hernandez kupatikana kwenye gari lililosajiliwa kwa jina lake...
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mtazame huyu mwimbaji mwenye Magongo, Alafu jifunze kitu!

    Aict Nyamikoma Choir wakiwa wanaimba katika Kanisa la Africa Inland Church Tanzania Buswelu Dayosisi ya Mwanza.Mtazame huyu mwimbaji mwenye magongo, anamtumikia Mungu kwa Furaha. Sijui Wewe utumishi wako mbele za Mungu ni furaha au majuto? CC.Inland tv
  6. D

    JamiiForums Tanzania Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah. Mwimbaji waa R&B za Kiswahili... Hapa nimeweka parts za cover za nyimbo zake.

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  7. D

    JamiiForums Tanzania Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah Mwimbaji waa R&B za Kiswahili, nimeweka parts za cover za nyimbo zake

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songea: Viongozi watatu CHADEMA, Mwimbaji nyimbo za chama na Wanachama wawili wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini kimesemea viongozi wake watatu, mwimbaji nyimbo za chama na wanachama wawili wameshikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Songea Mjini. Taarifa ya awali iliyotolewa leo Aprili 21,2025 na CHADEMA makao makuu, imewataja viongozi hao kuwa...
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Maneno aliyoyaongea Nabii Mkuu kipindi anampa gari Muimbaji wa nyimbo za injili yalikuwa ndiyo zawadi na siyo gari: Mwimbaji alishindwa kutafsiri

    Rejea maneno haya ya nabii Mkuu wakati anampa Mwimbaji gari "Mimi napenda kuuona uzuri wa watu na kuuyoa nje". Kwa haraka sana gari hapo limekuja la kiwakilisho tu katika ulimwengu wa vitu (material world) ila ukweli ni kuwa yule Mwimbaji alipewa mguvu ( energy). Waliomshauri kuchoma gari...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

    Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii. Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Elshamah Washira mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayetia mashaka kutokana na tabia zake

    Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?"

    Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja. Video: Whitney Houston - I Look to You https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
  13. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

    Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja. Video: Whitney Houston - I Look to You https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Miriam Mauki: Hakuna mwimbaji wa Injili anaye lipwa kama Rose Muhando

    Mwanamuziki na mratibu wa matamasha, Miriam Mauki amesema hakuna mwimbaji anayelipwa kama Rose Muhando katika tasnia ya muziki wa injili Tanzania lipokuja suala la kufanya matamasha. Soma Pia: Show ya Mtoko wa pasaka ya WASAFI MEDIA Roze Muhando simsikii kwenye promo Video: Wasafi Sunday Worship
Back
Top Bottom