TANZIA Mwimbaji nguli wa muziki wa Country, Dolly Parton amefariki dunia

TANZIA Mwimbaji nguli wa muziki wa Country, Dolly Parton amefariki dunia

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Mwimbaji nguli wa muziki wa country Dolly Parton, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80, Mpwa wake ametangaza taarifa hiyo kupitia video iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa huyo.

Pamoja na kwamba taarifa ya kifo chake haijataja chanzo cha kifo wala mazingira yake, kifo hicho kimetokea ikiwa ni miezi kadhaa tangu alipotangaza Mwezi Mei 2026 kufuta onesho lake la Las Vegas na kusema amekuwa akipata matibabu kwa muda baada ya mawe kugundulika kwenye figo zake.
19734255_082526-cc-getty-dolly-parton-square-img.jpg
images (23).jpeg
images (22).jpeg
 
View attachment 3656965
Mwimbaji Gwiji wa muziki wa country Dolly Parton, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80, Mpwa wake ametangaza taarifa hiyo kupitia video iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa huyo.

Pamoja na kwamba taarifa ya kifo chake haijataja chanzo cha kifo wala mazingira yake, kifo hicho kimetokea ikiwa ni miezi kadhaa tangu alipotangaza Mwezi Mei 2026 kufuta onesho lake la Las Vegas na kusema amekuwa akipata matibabu kwa muda baada ya mawe kugundulika kwenye figo zake.
Daah "Queen of Country" ataendelea kuishi karne na karne.Apumzike kwa amani💔
 
Back
Top Bottom