Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Mpango ni kuishi hadi miaka 120 ndio maana kasema bado sana.miaka 80 unasema bado kabisa, kufika hapo ni kushukuru Mungu
Mpango ni kuishi hadi miaka 120 ndio maana kasema bado sana.miaka 80 unasema bado kabisa, kufika hapo ni kushukuru Mungu
Kenny Rogers. Greatest gift of all lilikuwa goma tamu. Ila binafsi nilipenda alipofanya cover ya "marry did you know"Kaenda kwa rafiki yake
mpango wa nani?Mpango ni kuishi hadi miaka 120 ndio maana kasema bado sana.
Hapana kwa dunia ya sasa sehemu yoyote miaka 80 ni mingikwa wenzetu 80 bado sanaaa mkuu, huku kwetu 80 ndio tia majia tia maji mkuu.
Huo mtazamao wako mkuu sikupingi ila mtazamo wangu 80 badoHapana kwa dunia ya sasa sehemu yoyote miaka 80 ni mingi
Ni msiba mzito sana kwa sie wazee cantriii 🥲Dah!
Rest easy Dolly, you will forever be remembered🥲
Sanaaaa naomboleza hapa,Ni msiba mzito sana kwa sie wazee cantriii 🥲
View attachment 3657080
Mwimbaji nguli wa muziki wa country Dolly Parton, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80, Mpwa wake ametangaza taarifa hiyo kupitia video iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa huyo.
Pamoja na kwamba taarifa ya kifo chake haijataja chanzo cha kifo wala mazingira yake, kifo hicho kimetokea ikiwa ni miezi kadhaa tangu alipotangaza Mwezi Mei 2026 kufuta onesho lake la Las Vegas na kusema amekuwa akipata matibabu kwa muda baada ya mawe kugundulika kwenye figo zake.View attachment 3657018View attachment 3657019View attachment 3657020
Leo imekuwa siku ngumu sana aisee hapa Dada yangu Dolly kanitoka, kule Ima the boy basi hapa nagonga tu chupaa kupoza maumivu ya moyo leo nimepatwa na majozi 🥴🥴Sanaaaa naomboleza hapa,
Shukran kwa wimbo
Ima the boy😂 unataka nicheke kwa nguvu msibani nitimuliwe,Leo imekuwa siku ngumu sana aisee hapa Dada yangu Dolly kanitoka, kule Ima the boy basi hapa nagonga tu chupaa kupoza maumivu ya moyo leo nimepatwa na majozi 🥴🥴