PreGE2025 Songea: Viongozi watatu CHADEMA, Mwimbaji nyimbo za chama na Wanachama wawili wakamatwa na Jeshi la Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini kimesemea viongozi wake watatu, mwimbaji nyimbo za chama na wanachama wawili wameshikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Songea Mjini.

Taarifa ya awali iliyotolewa leo Aprili 21,2025 na CHADEMA makao makuu, imewataja viongozi hao kuwa ni Christian Komba, Mwenyekit wa Jimbo la Songea, Esau Chiza Mwenyekiti wa BAVICHA Jimbo la Songea, Zubery Tindwa Mjumbe wa Kamati Tendaji Jimbo la Songea, George Mwingira mwimbaji wa nyimbo za Chama,Abubakar Swalehe na Erick Wolfrem.

Akizungumza na Nipashe Digital, Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Masoud Malimusi, amesema viongozi hao walikamatwa kwa nyakati tofauti na wapo katika Kituo cha Polisi Songea Mjini, ikiwamo wanne waliokuwa wamekutana Baa kujadili mambo yao wakiwa na sare za chama zenye maneno ya ‘No Reforms No Election”

Amesema Mwenyekiti alikamatwa baada ya mkewe na mtoto wake kuchukuliwa na polisi ambao walikwenda dukani na kukuta limefungwa kwa kuwa alikwenda kituo cha polisi kuwapelekea chakula wenzake waliokamatwa.

Malimusi amesema akiwa kituoni alipigiwa simu na mkewe ambaye alimtaka kwenda dukani na alipofika aliwakuta polisi ambao walimkamata na kwenda kufanya upekuzi nyumbani kwake.
George Mwingira

Amesema viongozi na wanachama hao wamepekuliwa kila mmoja nyumbani kwake na kurudishwa kituoni humo na kwamba wamejulishwa kuwa wanashitakiwa kwa sababu walikuwa wanaandaa ajenda ya kufanya maandamano kupinga kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.

“Tulichoelekwa ni kuwa walifanya mkusanyiko usio halali, tusichoelewa hawa watu walikuwa wamekaa watatu wanaongea, sasa sijui ni kwasababu wamevaa sare za chama za ‘No Reforms No Election’ au vipi, tumeambiwa tutafute barua za kuwadhamini, na wamehojiwa asubuhi hii. Tukirudi kituoni tutajua nini kinaendelea,”amesema.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishana Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, SACP Marco Chilya alipoulizwa amesema: “Nachojua tumeshikilia waalifu si wanachama. Nitafute baada ya saa mbili nitakuwa na ufafanuzi zaidi,”Si kila anayeshikiliwa ni mwanachama sisi tunashikilia waalifu.
 
Taarifa ya awali iliyotolewa leo Aprili 21,2025 na CHADEMA makao makuu, imewataja viongozi hao kuwa ni Christian Komba, Mwenyekit wa Jimbo la Songea, Esau Chiza Mwenyekiti wa BAVICHA Jimbo la Songea, Zubery Tindwa Mjumbe wa Kamati Tendaji Jimbo la Songea, George Mwingira mwimbaji wa nyimbo za Chama, Abubakar Swalehe na Erick Wolfrem.

Akizungumza na Nipashe Digital, Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Masoud Malimusi, amesema viongozi hao walikamatwa kwa nyakati tofauti na wapo katika Kituo cha Polisi Songea Mjini, ikiwamo wanne waliokuwa wamekutana Baa kujadili mambo yao wakiwa na sare za chama zenye maneno ya 'No Reforms No Election"

Amesema Mwenyekiti alikamatwa baada ya mkewe na mtoto wake kuchukuliwa na polisi ambao walikwenda dukani na kukuta limefungwa kwa kuwa alikwenda kituo cha polisi kuwapelekea chakula wenzake waliokamatwa.

Malimusi amesema akiwa kituoni alipigiwa simu na mkewe ambaye alimtaka kwenda dukani na alipofika aliwakuta polisi ambao walimkamata na kwenda kufanya upekuzi nyumbani kwake.

Chanzo: Nipashe
 
Christian ni jirani angu kabisa hapa Msamala Miembeni, na aliwahi kuwa mwenyekiti wa mtaa wetu kwa miaka 5, na maendeleo tuliyaona.

Toka aondoke madarakani, msamala imekua ya hovyo kabisa, uzuri wananchi wake wengi wanajiweza ndo inabeba mtaa, wananchi tunampenda had kesho. Na iliwahi sikika Ccm Wanamtaka na angepewa udiwani wa kata, ila alikataa katu katu, ni mwana chadema kindaki ndaki na anakipenda chama chake.

Naombea atoke huko polisi akiwa salama, salimini.
 
Kumshika mke na mtoto ni uji wa kiwango cha juu, kosa la jinai huwezi kulihamishia kwa mtu mwingine kama ilivyo kwa makosa ya madai.
SHULE JAMANI,
NA NDIO MAANA WANAAJILI DIVISION 4 TU

Tuna polisi hayawani kabisa, wasio na uelewa wowote, wanashindana kuwafanyia uovu CHADEMA wakiamini wakifanya hivyo, watapanda vyeo.

Yalaaniwe haya mapolisi hayawani, na vizazi vyao vyote kwani hawana faida kwa Taifa. Ni aheri haya mahayawani yasingelizaliwa.
 
Wajifunze kwa mahita sasa hivi yuko wapi,
Na miongoni mwa taasisi zinazoishi maisha ya hovyo na magumu baada ya kustaafu ni hao hao.
Mzee malechela aliwahi kusema yeye sio katapila, alijitambua. Sasa wengine sio tu makatapila bali T= Shirt
 
Hii ndiyo kazi policcm wanayoiweza, kulinda wanaotekwa aah. Sasa watu wasikae na kuvaa watakavyo, eti wanapanga maandamano, ni uonevu tu. Hiko chama wanachokilinda kinakaa magenge na magenge nani anawakamata. Kufanya kazi kwa maagizo kuliko kazi yako inavyotaka ndiyo tumefikia hapa.
 
Ninachokiona hapa CCM walichukulia Ruvuma kama ngome Yao ya kudumu, sasa hawaamini kuona wananchi wanawageuka na zaidi ndio nyumbani Kwa Emmanuel Nchimbi, KATIBU mkuu wa CCM na mgombea mwenza wa Urais 2025, hivyo wanapata kiwewe na kufanya kamata ya CHADEMA.
Ikumbukwe huko ndio TL alikokamatwa, lakini ukweli ni kuwa CCM haitendi haki Kwa wana Ruvuma katika kuwavusha katika maendeleo, hivi sasa makaa ya mawe yanachimbwa kila mahala ila kaangalie barabara yaani ni Huruma, vumbi lote wanakula wananchi na kuna tetesi kuwa kuna Barbara hazijengwi Kwa sababu Tu wamiliki wa magari yanayobeba makaa hayo kutoka migodini kuja bandari kavu yanamilikuwa na baadhi ya viongozi WA chama na serikali.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini kimesemea viongozi wake watatu, mwimbaji nyimbo za chama na wanachama wawili wameshikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Songea Mjini.

Taarifa ya awali iliyotolewa leo Aprili 21,2025 na CHADEMA makao makuu, imewataja viongozi hao kuwa ni Christian Komba, Mwenyekit wa Jimbo la Songea, Esau Chiza Mwenyekiti wa BAVICHA Jimbo la Songea, Zubery Tindwa Mjumbe wa Kamati Tendaji Jimbo la Songea, George Mwingira mwimbaji wa nyimbo za Chama,Abubakar Swalehe na Erick Wolfrem.

Akizungumza na Nipashe Digital, Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Masoud Malimusi, amesema viongozi hao walikamatwa kwa nyakati tofauti na wapo katika Kituo cha Polisi Songea Mjini, ikiwamo wanne waliokuwa wamekutana Baa kujadili mambo yao wakiwa na sare za chama zenye maneno ya ‘No Reforms No Election”

Amesema Mwenyekiti alikamatwa baada ya mkewe na mtoto wake kuchukuliwa na polisi ambao walikwenda dukani na kukuta limefungwa kwa kuwa alikwenda kituo cha polisi kuwapelekea chakula wenzake waliokamatwa.

Malimusi amesema akiwa kituoni alipigiwa simu na mkewe ambaye alimtaka kwenda dukani na alipofika aliwakuta polisi ambao walimkamata na kwenda kufanya upekuzi nyumbani kwake.
George Mwingira

Amesema viongozi na wanachama hao wamepekuliwa kila mmoja nyumbani kwake na kurudishwa kituoni humo na kwamba wamejulishwa kuwa wanashitakiwa kwa sababu walikuwa wanaandaa ajenda ya kufanya maandamano kupinga kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.

“Tulichoelekwa ni kuwa walifanya mkusanyiko usio halali, tusichoelewa hawa watu walikuwa wamekaa watatu wanaongea, sasa sijui ni kwasababu wamevaa sare za chama za ‘No Reforms No Election’ au vipi, tumeambiwa tutafute barua za kuwadhamini, na wamehojiwa asubuhi hii. Tukirudi kituoni tutajua nini kinaendelea,”amesema.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishana Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, SACP Marco Chilya alipoulizwa amesema: “Nachojua tumeshikilia waalifu si wanachama. Nitafute baada ya saa mbili nitakuwa na ufafanuzi zaidi,”Si kila anayeshikiliwa ni mwanachama sisi tunashikilia waalifu.
Jeshi linafanya kazi nzuri wahalifu wote washughulikiwe. Walifikiri wakivaa sare za chama hawatashughulikiwa?
 
Christian ni jirani angu kabisa hapa Msamala Miembeni, na aliwahi kuwa mwenyekiti wa mtaa wetu kwa miaka 5, na maendeleo tuliyaona.

Toka aondoke madarakani, msamala imekua ya hovyo kabisa, uzuri wananchi wake wengi wanajiweza ndo inabeba mtaa, wananchi tunampenda had kesho. Na iliwahi sikika Ccm Wanamtaka na angepewa udiwani wa kata, ila alikataa katu katu, ni mwana chadema kindaki ndaki na anakipenda chama chake.

Naombea atoke huko polisi akiwa salama, salimini.
Kamfuate polisi huyo mhalifu wako
 
Back
Top Bottom