Mpigieni na Mabondo, mwambieni aache kuruka na mafundo. Mwimbaji Rose Mhando.

Umtama Mula

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2021
Posts
291
Reaction score
798
Siku mkipata nafasi ya kumhoji huyu Nguli wa nyimbo za injiri.Muulizeni nini kilimkuta siku alipofika Kibondo kueneza injiri.
Muulizeni kuhusu mwamba wa kuitwa Mabondo, hadi akamuimba na kuwatuma watu wamwambie aache kuruka na mafundo kwenye wimbo wake wa Agenda.
Hiki chuma cha kuitwa Mabondo kipo pale mtaa wa Nengo ndani ya Wilaya ya Kibondo. Rose Muhando haji kukisahau.
 
  • Thanks
Reactions: K11

Hizo sifa za kuruka na mafundo ni za kweli kwa mzee Mabondo eeeh Mutama?
 
Back
Top Bottom