Uchaguzi 2020 Je, ni nani alikuwa nyuma ya biashara ya waunga juhudi? Je, imemlipa ama kala hasara kubwa?

Katika mambo ni ya ajabu kwenye utawala wa Magufuli ni waliokuwa wabunge wa upinzani kuhamia chama chake kinyemera halafu yeye kama mwenyekiti alikaa kimya kama vile hausiki.
 
Sure! You are very right mkuu
 
Kutaka kwangu upinzani uchukue dola ni kwa ajili tu ya tu ya kutaka kuona hawa kunguru kijani watakavyokuwa wanatapatapa
 
Biashara imefeli na mtaji umeliwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Imegeuka White elephant project kwa chama ni aibu,ni fedheha kwa chama kikongwe,lakini pesa imetumika.

Yule mjumbe Halmashauri Kuu ya CCM alitaka majibu,lakini alijibiwa kuwa ndani ya CCM damu damu hawana kitu ndio sababu ya kusajiri kupitia dirisha dogo.

Pammoja na majibu hayo matokeo yake wajumbe wakaamua kuwapiga spana watia nia wa ubunge na udiwani waliopitia dirisha dogo la usajiri.
 
Madalali wa siasa CCM walikula huku na huku wanakula 10% pande zote kwa mnunuliwa na kwa mnunuzi
 
ukikosea binafsi unaweza kujiadhibu ama kujisamehe lakini vipi kama ukikosea Kitaasisi.?
 
Mkuu,

Mshana Jr,

Kumbe ndo maana deni la Taifa limekuwa kwa kasi.

Kumbe kulikuwa na biashara ya kununua wapinzaniBashiru na Polepole wanapashwa kulejeaha pesa ili tupungeze nadeni kwa mabebelu.
 
Mkuu,

Mshana Jr,

Kumbe ndo maana deni la Taifa limekuwa kwa kasi.

Kumbe kulikuwa na biashara ya kununua wapinzaniBashiru na Polepole wanapashwa kulejeaha pesa ili tupungeze nadeni kwa mabebelu.
Matumizi ya hovyo kwa kutumia pesa zetu yalikuwa mengi mno...kuna siku tukiyajua yote ...tutaweka msiba wa kitaifa
 
ukikosea binafsi unaweza kujiadhibu ama kujisamehe lakini vipi kama ukikosea Kitaasisi.?
Sheria inachukua mkondo wake...lakini kama kuna utawala wa sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…