Je, ni nani anayesoma au kunifuatilia au hata kuni admire mimi superbug humu jamiiforum?

Je, ni nani anayesoma au kunifuatilia au hata kuni admire mimi superbug humu jamiiforum?

Hakuna jambo jema kama kujua unapendwa na watu pia wanakupa attention je mimi Superbug napendwa na je nani wananiadmire humu jamiiforum?

Pia naomba kama wewe ni mpenzi wa kupenda kupendwa basi weka jina la member unayemfwatilia humu.

Binafsi nawafwatilia wengi almaarufu ni Pascal Mayalla na GENTAMYCINE japo huyu popoma kanibloack.
Mm nakupenda ila kama ni demu
 
Back
Top Bottom