Hakuna jambo jema kama kujua unapendwa na watu pia wanakupa attention je mimi
Superbug napendwa na je nani wananiadmire humu jamiiforum?
Pia naomba kama wewe ni mpenzi wa kupenda kupendwa basi weka jina la member unayemfwatilia humu.
Binafsi nawafwatilia wengi almaarufu ni
Pascal Mayalla na
GENTAMYCINE japo huyu popoma kanibloack.