Je, ni nani atafaa kuongoza wizara ya afya kwa siku za mbeleni?

Je, ni nani atafaa kuongoza wizara ya afya kwa siku za mbeleni?

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau.

Leo Nimeona nipate Maoni yenu kwa kuzingatia kichwa cha habari Hapo Juu.

Kwa Siku za Mbeleni na kwa kutazama Uhalisia Wa Changamoto Mbalimbali za Kiafya Nchini, Je unaona Nani Atafaa Kuongoza Wizara ya Afya Na kwa Sababu zipi?

Kibinadamu Hakuna awezaye kudumu milele sehemu Moja.
Kuna kupanda na Kushuka
Kuna kushuka na Kupanda


Karibuni Sana mtoe Maoni yenu.
 
Hata tukitoa maoni ya nani anafaa kuongoza Wizara sio ya Afya tu bali yoyote ile, haina maana sana kwani Mamlaka ya uteuzi hasa kwa Mawaziri haiangalii vigezo vyetu bali kwa kadri anavyopenda yule anyeteua.
 
Acha Zengwe na Ramli,Hivyo vitu ni adui wa afya yako.
 
Back
Top Bottom