Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Basi apewe Prof. Kabudi.
Na hasa pale penye tulizo la moyo wake ndipo hupateuaHata tukitoa maoni ya nani anafaa kuongoza Wizara sio ya Afya tu bali yoyote ile, haina maana sana kwani Mamlaka ya uteuzi hasa kwa Mawaziri haiangalii vigezo vyetu bali kwa kadri anavyopenda yule anyeteua.
Hata mkikusanyika dunia nzima Marekani ikiwemo mpige kelele kua huyo mteule hafai, ilimradi kwake anapendeza basi atakya huyohuyoooNa hasa pale penye tulizo la moyo wake ndipo hupateua