Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Nashukuru mtaalam kwa kunipa ujuzisiku nyingine acha uvivu muulize hata chatgpt....
Umoja wa Mataifa (UN) hauna nafasi ya "Mwenyekiti" kama taasisi zingine. Badala yake, uongozi wake wa juu unaongozwa na Katibu Mkuu, ambaye ndiye mtendaji mkuu wa Umoja wa Mataifa. Hivi sasa (mwaka 2024), Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ni António Guterres kutoka Ureno.
Lakini Umoja wa Mataifa pia una vyombo vingine vinavyoongozwa na "viongozi wa ngazi ya juu," kama vile:
1. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN General Assembly) linaongozwa na Rais wa Baraza Kuu, ambaye huchaguliwa kila mwaka kutoka kwa nchi wanachama. Kwa sasa (2024), Rais ni Dennis Francis kutoka Trinidad na Tobago.
2. Baraza la Usalama (UN Security Council) halina "Mwenyekiti" wa kudumu; uongozi wa baraza hubadilika kila mwezi kati ya wanachama wa kudumu na wa muda.
Kwa hiyo, Umoja wa Mataifa unategemea uongozi wa Katibu Mkuu pamoja na marais wa vyombo vyake mbalimbali badala ya kuwa na "Mwenyekiti" mmoja wa jumla.
(Kwa hisani ya chatgpt)
Akili yako ndo imeishia hapo katika kufikiri mkuuusiumize kichwa ni US...na wenyeviti weza ni wale wa veto wezake(mnauliza vitu vidogo)
noop beyond hereAkili yako ndo imeishia hapo katika kufikiri mkuu
Kofi Annan Amefariki tangu mwaka 2018.😎 Kofee Anan. 📚
Itetee akili yako kwenye kile ulichokiwasilishanoop beyond here
mtu unashinda JF anataka kujua mwenyekiti wa Dunia ...hata mnaemsasambulia anawaona kengeItetee akili yako kwenye kile ulichokiwasilisha
Nilitaka tu kujua kama Anan alikuja kuzikwa baada ya muda gani? Mengine nayafahamuKofi Annan Amefariki tangu mwaka 2018.
Inawezekanaje akawa ni kiongozi wa UN kwa sasa.
Ninachofahamu Kofi Annan alikiwa katibu mkuu wa UN kutoka 1997 - 2006.
Kiongozi wa Juu UN ni Katibu Mkuu ambaye kwa sasa ni
António Guteres akihudumu tangia 2017.
Asante.
Sijui kama akili yangu ni nzito kuelewa kiasi hichi.mtu unashinda JF anataka kujua mwenyekiti wa Dunia ...hata mnaemsasambulia anawaona kenge
Anaamini kwenye Yale anayokaririshwa na sio uhalisia anahitaji huruma na elimu piaAkili yako ndo imeishia hapo katika kufikiri mkuu
Sikuelewa pia kwa sababu hukulibainisha hapo awali.Nilitaka tu kujua kama Anan alikuja kuzikwa baada ya muda gani? Mengine nayafahamu
Uko sahihi mkuu.Anaamini kwenye Yale anayokaririshwa na sio uhalisia anahitaji huruma na elimu pia
Pandisha Ile video yake pleaseUko sahihi mkuu.
Papa wa Vatican maana Jana umedanganywa huko kwenye sabato yenu, leo unataka ushahidi JamiiForumsNapenda Kuuliza Tumezoea kuona Taasisi kubwa Duniani zikiwa na uongozi kamili kuanzia Ngazi ya juu hadi ngazi ya Mwisho leo napenda kuuliza je Ni nani Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa
Maana Tumekuwa tukisikia cheo kimoja cha katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ?