Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Sioni kama yule mwandishi NGULI, msomi wa uandishi Kisha akahamia kwenye wigo wa Sheria Bwana Pascal Mayalla Kama anaweza jibu hoja hizi.
Nyani Ngabu the Monkey of the nation anaweza kumung'unya ile lugha inayoliumbua Taifa kupitia liwali aliyepo, lakini kamwe 🦍 Nyani Ngabu hawezi jibu hoja rahisi hata moja ya Tundu Lissu.