Uchaguzi 2020 Je ni nani wa kujibu hoja hizi za Tundu A Lissu?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Nani ana muda wa kujibizana na walishindwa
 
Nadhani wana juta kumjua daaa ropo ropo hasa
 
Sioni kama yule mwandishi @NGULI, msomi wa uandishi Kisha akahamia kwenye wigo wa Sheria @Bwana @Pascal Mayalla
Hakuna nguli hapa, ni takataka tu zimejitweza kwa malofa ya uandishi wa habari.....
 
Sioni kama yule mwandishi @NGULI, msomi wa uandishi Kisha akahamia kwenye wigo wa Sheria @Bwana @Pascal Mayalla Kama anaweza jibu hoja hizi.
Mkuu 'Bujibuji'
Inawezekana huelewi maana ya neno "Nguli", au pengine unalitumia kwa hadaa.
 
Hakuna nguli hapo hata mmoja hao wote ni watu waliokata Tamaa na maisha
 
MKAPA alilipa watu wote fao la kujitoa

Kikwete alilipa watu wote fao la kujitoa

Magufuli akaja Kuondoa FAO la na kuleta ubaguzi.

Magufuli...Pesa za NSSF ulipeleka wapi?

CCM mmejaza Mabango barabarani kwa Pesa zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…