Je ni nini chanzo cha magonjwa duniani

Je ni nini chanzo cha magonjwa duniani

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Huenda baba wa mauaji duniani tunamjua anaitwa Kaini
Baba wa usaliti duniani anajulikana
Baba wa chuki duniani anajulikana
Sasa Je nini chanzo cha magonjwa duniani

Kwa nini tunakuwa wagonjwa na kufa? Ulimwengu usiokuwa na magonjwa utatokeaje? Biblia inajibu maswali hayo.

Kinachosababisha Magonjwa

Adamu na Hawa, wazazi wetu wa kwanza, waliumbwa wakiwa na miili yenye afya kamilifu. (Mwanzo 1:31; Kumbukumbu la Torati 32:4) Waliumbwa waishi duniani milele. Walipomwasi Mungu kimakusudi ndipo miili yao ilianza kuathiriwa na magonjwa. (Mwanzo 3:17-19) Kwa kukataa mamlaka ya Mungu walivunja uhusiano pamoja na Muumba, ambaye ni Chanzo cha uhai wao mkamilifu. Wakawa na kasoro. Kwa sababu hiyo, wakawa wagonjwa na kufa, kama vile Mungu alivyokuwa amewaonya.—Mwanzo 2:16, 17; 5:5.

Baada ya kuasi, Adamu na Hawa wangeweza tu kupitishia watoto wao uhai usio mkamilifu. (Waroma 5:12) Kama ilivyotajwa katika makala iliyotangulia, leo wanasayansi wanatambua kwamba kuna kasoro fulani zilizorithiwa ambazo zinachangia kuwa na magonjwa na kifo. Hivi karibuni kikundi cha wanasayansi kilisema hivi baada ya uchunguzi wa muda mrefu: “Ni jambo lisiloepukika la kibiolojia kwamba mara tu baada ya uhai wetu kuanza, mwili wetu huchukua mkondo wa kujiharibu.”

[emoji830] Si kwa jitihada za wanadamu Sayansi inapata mafanikio makubwa katika kupigana na magonjwa. Lakini wanasayansi wameshindwa kumaliza kisababishi cha magonjwa. Jambo hilo haliwashangazi wanafunzi wa Biblia ambao wanafahamu maneno haya yaliyoongozwa kwa roho: “Msiweke tegemeo lenu katika watu wenye vyeo, wala katika mtu wa udongo, ambaye hana wokovu wowote.”—Zaburi 146:3.

Hata hivyo, kama vile Biblia inavyosema, “mambo yasiyowezekana kwa wanadamu yanawezekana kwa Mungu.” (Luka 18:27) Yehova anaweza kumaliza kisababishi cha magonjwa. Ataponya magonjwa yetu yote. (Zaburi 103:3) Neno lake lililoongozwa kwa roho linaahidi hivi: “Tazama! Hema la Mungu liko pamoja na wanadamu, naye atakaa pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Na Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao. Naye atafuta kila chozi kutoka katika macho yao, na kifo hakitakuwapo tena, wala maombolezo wala kilio wala maumivu hayatakuwapo tena. Mambo ya zamani yamepitilia mbali.”—Ufunuo 21:3, 4.

[emoji830] Unachohitaji kufanya Yesu Kristo alieleza waziwazi kile tunachopaswa kufanya ili kufurahia ulimwengu ambao hautakuwa na magonjwa. Alisema: “Uzima wa milele ndio huu, waendelee kupata ujuzi juu yako wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na juu ya yule uliyemtuma, Yesu Kristo.”—Yohana 17:3.

Ujuzi juu ya Mungu na mafundisho ya Mwana wake Yesu yanapatikana katika Biblia. Ujuzi huo unatia ndani mashauri ambayo yanaweza kuboresha maisha yako sasa. Zaidi ya hayo, Mungu anaahidi ulimwengu usio na maumivu kwa waabudu wake waaminifu. Naam, Mungu anaahidi wakati ujao ambao “hakuna mkaaji atakayesema: ‘Mimi ni mgonjwa

Maoni Yaliyosawazika Kuhusu Afya

Biblia hutia watu moyo waheshimu uhai. Mungu hutazamia watumishi wake wawe na kiasi wanapokula na kunywa. (Methali 23:20; Tito 2:2, 3) Hatua hizo muhimu pamoja na kupumzika na kufanya mazoezi ya kutosha kunaweza kuzuia matatizo mengi ya afya. Huenda wale ambao ni wagonjwa wakahitaji kutafuta msaada kutoka kwa madaktari wanaoaminika.

Biblia inapendekeza tuwe na usawaziko na “utimamu wa akili.” (Tito 2:12; Wafilipi 4:5) Wengi leo wanakosa usawaziko na kuhangaikia sana kutafuta matibabu, hivi kwamba wanapuuza hali yao ya kiroho. Wengine wanageukia mbinu za matibabu zinazoweza kuwadhuru. Nao wengine wanapoteza pesa na muda kwa ajili ya matibabu yasiyofaa au yenye kudhuru.

Ukweli ni kwamba kwa sasa afya kamilifu haijapatikana. Unapongojea wakati ujao ambapo magonjwa hayatakuwapo tena, hekima na usawaziko ambao unapatikana katika Biblia unaweza kukusaidia kubaki ukiwa mwenye usawaziko unapotafuta afya nzuri.
ME3.jpg
 
Historia yetu ya kibinadamu ni historia ya nafasi, ambapo jiografia imetengeneza hatima yetu. Sayari yetu ilipumzika umbali wa kutosha kutoka jua na hatua iliwekwa kwa ajili ya tukio la maisha katika Njia ya Milky Galaxy .

Sisi ni mkusanyiko wa atomi nyingi ambazo zimeandaliwa kuwa na ufahamu wa kuwepo kwetu.

Nguvu za mageuzi na uteuzi wa asili zinaelezea ufanisi, ugumu, na utofauti wa maisha duniani.

Binadamu anawakilisha tawi ndogo katika mti mkubwa na wenye nguvu wa maisha uliojitokeza mamilioni ya miaka iliyopita."Watu wetu wa kipekee" utambulisho ni wazi wakati tunapotazama kioo katika kihistoria yetu

Vimelea vya kibinadamu sio wanadamu ila sisi ni viungo vya virusi ambavyo vilioriginate kutoka mbali huko na kuwa mimea, wanyama, na viumbe vya mwisho.

Mwili wa kibinadamu wa kisasa hukusanya mkusanyiko wa aina tofauti za seli za trilioni 10 chini ya udhibiti wa moja kwa moja wa jeni 23,000.

Sawa na wengine wanachama wa ufalme wa wanyama, uendelezaji wetu unahusisha michakato michache ya msingi: mbolea, cleavage, gastrulation, organogenesis, maendeleo ya baada ya kuzaa, na gametogenesis.

Katika maendeleo yetu ya mamalia, tunashirikisha pia ukweli kwamba kila kiumbe huanza akiwa mdogo na badae kuwa mzima hatimaye hupata sherehe na kufa. Katika ngazi zote hizi, jumuia ndogo ya viumbe hai, ngozi na njia ya kupumua inafanya jukumu muhimu katika kuimarisha afya na magonjwa kwa kuchanganya genomes (microbiome) .

Kwa hiyo, kutokana na mtazamo wa mabadiliko, asili yetu ya binadamu ni kwamba mazingira ambayo yameiruhusu seli iweze kuproliferate ( kukua na kufanya uchanguzi wa kuishi katika mazingira mageni) huruhusu kiini cha seli hizo kurudi mahali pake( original place)

magonjwa ya kwa vo viumbe hai ni kawaida ili kurudisha original ya seli zetu zilipotoka.

ili binadamu aweze kuishi muda flani wa maisha inategemea akaunti za seli controller za DNA zake zikoje lakini pia ni lazima utambue kuwa DNA ilioriginate kwa njia ya vita kati ya Masi, biochemical compromises, na mchanganyiko mkubwa miongoni mwa mabadiliko, mazingira, na mabadiliko makubwa yanaweza kubadilisha tabia ya seli hiyo ( DNA) Kuruhusu genes(jeni) chache mwilini kujigeuza na kuruhusu self destruction ya seli zingine ili kurudi katika hali yake ya mwanzo na hapo ndipo kiumbe hukosa sifa ya kuwa na mwili..

Kwa maana hii, jeni ambazo zinafanya miili ya wanadamu kuwa na mafanikio ya uzazi bora yatakuwa ya kawaida zaidi, hata kama yanaathiri afya ya mtu binafsi mwisho.

Ubadilishaji wa kibinadamu wa mfumo wa mazingira wa dunia una ushawishi muhimu juu ya afya ya binadamu.
kwa hiyo binadamu kama binadam ameevolve from viral genome ambayo sequence yako imebe locked kwenye DNA sequence kwani ndani ya DNA sequence kuna gene switch ambayo kazi yake ni kuruhusu life expectance ya gene zingine kujigeuzs na kuwa seli kisha kuproliferate na kuwa body form lakini baada ya muda flani inajicomand na kuwa virus tena kisha kuanza kujitafuna mpka mwili unapoteza sifa yake hence death ina occur..watu wa molecular analysis tuambizane vizuri kazi ya NON-CODING bases kwenye DNA replication make huwa zipo tu na kazi yake bado haijulikani..
hatuoni kuwa zile ndo bases zinazotengeneza gene switch na kujibadilisha kuwa virus kisha zinaleta self autolysis ya mwili hence disease of unknown aetiology??

patamu hapo.....

kama ukiscan the whole DNA utakuta kila gene sequence ina kazi yake ,sasa kwanin kazi ya Non- coding bases haijulikan mpaka leo..??

naomba kuishia hapa...

we might have evolved from somewhere else ndo mana originality yetu bado ipo ndani ya mwili wetu...mambo ya bible ni kutuchanganya tuendelee kuandika thread ambazo hazina majibu milele...
 
Asante kwa mtazamo wako mkuu
 
Chanzo cha magonjwa yote ni TUMBO kiasili utumbo ndo kiini cha infection zote kupokea na Kutoa.Na kitaalam Dawa ya magonjwa yote pia hipo
 
kama yesu anaponyesha magonjwa basi aoteshe mguu au mkono wa binadamu au mbuzi uliokatika
achana na hekaya za wazungu
 
Uharo
 
Back
Top Bottom