Je, ni nini tofauti kati ya GNI/GNP na GDP kwa Kiswahili? Ni yote "pato la taifa"?

Je, ni nini tofauti kati ya GNI/GNP na GDP kwa Kiswahili? Ni yote "pato la taifa"?

Mwanamkiwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
2,023
Reaction score
2,402
Pato la Taifa ni GNI/GNP au GDP? "Nominal" - itakuwa kinaganaga?

Ufafanuzi kwa Kiingereza:

GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI): total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic product (GDP), plus factor incomes earned by foreign residents, minus income earned in the domestic economy by nonresidents.
GDP Gross Domestic Product: market value of all the final goods and services produced in a specific time inside a country.

Nakuta "Pato la taifa" kwa kila moja kati ya maana hizo mbili.

Naomba ushauri!
 
Haueleweki ila nachofahamu ni

GNP- ni pato la taifa linalozalishwa na raia wa nchi walio ndani na nje ya nchi

GDP - Ni pato la taifa linalozalishwa na wananchi na wasio wananchi walio ndani ya nchi, kikawaida ni ndani ya mwaka mmoja wa fedha
 
Kwa hiyo labda
GNP - Jumla la Pato la Taifa
GDP - Pato la Taifa la ndani?
 
Back
Top Bottom