Je ni njia gani sahihi ya kuwekeza kwa ajili ya maisha ya badae hasa ya uzeeni

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Kifo hakieleweki; wengine tutakufa kabla ya uzee,
wengine tutazeeka kwanza kisha umauti utatufika
Nguvu tulizo nazo zitaisha, matumaini yatayeyuka, na hatutakuwa tena na nafasi ya kurekebisha yaliyopita.
Maisha haya ni safari fupi yenye misimu mingi, isiyo tabirika

Je, ni njia gani sahihi ya kuwekeza kwa ajili ya maisha ya baadaye?
 
Wape wanao elimu, huenda mmojawao akakushika mkono wakati wa uzee wakoo
 
Kifo hakieleweki , wengine tutakufa kabla ya uzee

Wengine tutazeeka kwanza kisha umauti utatufika,

Nguvu tulizo nazo zitaisha

Je ni njia gani sahihi ya kuwekeza kwa ajili ya maisha ya badae ?
Real estate industry
 
kama uko kwenye 30' hakikisha kila mwaka unapanda hata heka kumi za miti hapo hata wajukuu watakuja kukusalimia na ukifa watakuja kufagia kaburi lako!!!!!
 
Ishi duniani kama msafiri aliyepumzika kivulini akingoja kuendelea na safari......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…