Stationery yako kama ni biashara issue muhimu kuliko zote ni Profit Maximization, yaani increasing profit margin. Sasa kama Mondi ingawa sio nzuri kama Double A, na wala haingai kama Double A, lakini inafanya kazi bila tatizo (haikwami wala hazibebani mbili mbili); kwanini ununue Double A ambayo itapunguza faida yako na wala mteja hatagundua tofauti ?Wakuu nataka kununua ream kwa ajili ya stationery yangu je ni ream ipi nzuri yenye quality na haikwami kwenye mashine Kati ya hizi
double A au mondi
Mkuu mbona bei yako haina unafuu wowote, kwa bei hio si bora mtu ajipige achukue carton ya Double A ?, hata mikoani (sehemu nyingi) unaweza ukapata carton ya Mondi at most 34,000/=Nunua mondi.. Nipm nikuuzie elfu kumi moja
Mkuu mbona bei yako haina unafuu wowote, kwa bei hio si bora mtu ajipige achukue carton ya Double A ?, hata mikoani (sehemu nyingi) unaweza ukapata carton ya Mondi at most 34,000/=
ndio maana nikasema atmost..., yaani bei ya juu kabisa which means kuna ya chini kama yako na Dar itakuwa chini zaidiMkuu ni jana tu nimenunua carton yb mond hapa songea 30,000!
wadau hivi hapo dar.katoni moja inaweza kuuzwa shingapi.?