je ni paper ream ipi nzuri kati ya hizi

je ni paper ream ipi nzuri kati ya hizi

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
883
Reaction score
1,291
Wakuu nataka kununua ream kwa ajili ya stationery yangu je ni ream ipi nzuri yenye quality na haikwami kwenye mashine Kati ya hizi
double A au mondi
 
Wakuu nataka kununua ream kwa ajili ya stationery yangu je ni ream ipi nzuri yenye quality na haikwami kwenye mashine Kati ya hizi
double A au mondi
Stationery yako kama ni biashara issue muhimu kuliko zote ni Profit Maximization, yaani increasing profit margin. Sasa kama Mondi ingawa sio nzuri kama Double A, na wala haingai kama Double A, lakini inafanya kazi bila tatizo (haikwami wala hazibebani mbili mbili); kwanini ununue Double A ambayo itapunguza faida yako na wala mteja hatagundua tofauti ?
 
Nunua mondi.. Nipm nikuuzie elfu kumi moja
Mkuu mbona bei yako haina unafuu wowote, kwa bei hio si bora mtu ajipige achukue carton ya Double A ?, hata mikoani (sehemu nyingi) unaweza ukapata carton ya Mondi at most 34,000/=
 
Mkuu mbona bei yako haina unafuu wowote, kwa bei hio si bora mtu ajipige achukue carton ya Double A ?, hata mikoani (sehemu nyingi) unaweza ukapata carton ya Mondi at most 34,000/=

Mkuu ni jana tu nimenunua carton yb mond hapa songea 30,000!
 
Back
Top Bottom