Je ni rahisi kushinda kesi mahakamani bila kuhonga hakimu?

Agresive

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
890
Reaction score
1,236
Heshima yenu wakuu, niendee kwenye mada.

Vyomba vyetu vya kutoa haki vimekuwa na changamoto nyingi katika kutekeleza haki hususani kwenye kesi zinazohusisha pesa.

Pia mahakama zimekuwa na ukilitimba mwingi katika kutoa haki kwa wanyonge.

Je rahisi ukimshitaki mtu mahakani kwa kosa la jinai kama utapel ambapo mlalamikaji anakuwa Jamhuri na mshitaki kuwa shahidi, Je mlalamkaji usipoonana na hakimu na au wakili wa serikali ili umpe kitu kidogo hatakama una ushahidi je ni rahisi kupata haki yako???

karibu kwa mchango wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…