Some how it may work...but not to that extent! Kwanza hata kwenye media, unajua kuna watu wenye mpunga mkubwa tu wanatamani sana kuinvest kwenye media kama yeye ila kwa sababu ya ushindani (japo ushindani si kigezo) (n.k), minjemba imetulia tu! Akihama, itakuwa amefungua mlango mkubwa sana kwa watu wengine na wataweka mpunga mrefu kwenye ligi, na itapelekea kumwondoa sokoni! Unajua kwa nini huu mkataba mpya ni miaka 10...?Mfano unabadili jina la Azam to Ukwajukwaju Fc, unatafuta mtu wako ananunua timu Zanz unamuuzia jina la Azam fc, Ukwajukwaku Fc inauziana wachezaji na Azam ndani ya misimu mitatu, minne, Then Ukwajukwaju Fc inashuka daraja mpaka inapotelea huko kusikojukikana.
Kwani anaondoa media au timu?Some how it may work...but not to that extent! Kwanza hata kwenye media, unajua kuna watu wenye mpunga mkubwa tu wanatamani sana kuinvest kwenye media kama yeye ila kwa sababu ya ushindani (japo ushindani si kigezo) (n.k), minjemba imetulia tu! Akihama, itakuwa amefungua mlango mkubwa sana kwa watu wengine na wataweka mpunga mrefu kwenye ligi, na itapelekea kumwondoa sokoni! Unajua kwa nini huu mkataba mpya ni miaka 10...?
Wahame tu..Baada ya mechi kati ya Simba na Azam, mengi yameibuka..kubwa zaidi likimuibua mmiliki wa Azam na kutoa ya moyoni hasa kuhusu marefa, na kupelekea kusema ataiondoa Azam Bara na kuipeleka Zanzibar. Sasa tuone je hilo linawezekana au vipi.
Tuanze;
Ndiyo, inawezekana, lakini ni nadra sana na haiwezi kufanywa kwa uamuzi wa klabu pekee. Inahitaji idhini kutoka kwa FIFA, continental football confederation husika (kama CAF barani Afrika), na vyama vya soka vya nchi zote mbili.
Kuna mifano halisi:
AS Monaco FC ni klabu ya Monaco lakini hushiriki ligi ya Ufaransa.
Cardiff City F.C. na Swansea City A.F.C. ni klabu za Wales lakini hushiriki mfumo wa ligi wa England.
Wellington Phoenix FC ni klabu ya New Zealand inayoshiriki ligi kuu ya Australia.
Kwa upande wa Tanzania, kama Simba Sports Club au Young Africans S.C. wangetaka kushiriki ligi ya Kenya au Uganda, hilo haliwezekani bila makubaliano rasmi ya vyama vya soka vya nchi hizo, shirikisho la bara, na FIFA. Kwa sasa hakuna utaratibu unaoruhusu jambo hilo katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Kwa hiyo, jibu ni ndiyo, linawezekana kisheria katika mazingira maalumu, lakini ni jambo la nadra sana na linahitaji idhini ya taasisi nyingi za soka.
Sasa je kwa case ya Azam hii imekaaje;
Kwa hali ya sasa, hapana. Azam FC haiwezi kujitoa kwenye Tanzania Premier League Board na kwenda kushiriki moja kwa moja Zanzibar Football Federation ligi kuu ya Zanzibar kwa uamuzi wake pekee.
Hata hivyo, kuna jambo muhimu la kutofautisha:
Inaweza kuchezea mechi zake za nyumbani Zanzibar ikiwa inafuata kanuni za TFF, TPLB na ZFF. Ndiyo maana tumeona klabu kama Azam na Simba zikiwahi kutumia Uwanja wa New Amaan kwa mechi za Ligi Kuu Bara.
Lakini kubadili ligi kutoka Ligi Kuu Tanzania Bara kwenda Ligi Kuu Zanzibar kungehitaji mabadiliko makubwa ya kikanuni na makubaliano ya vyombo vinavyosimamia soka Tanzania. Kwa sasa hakuna utaratibu wa kawaida unaoruhusu klabu ya Bara kuhamia kushiriki Ligi Kuu Zanzibar.
Lakini je utaratibu upoje;
1. Uamuzi wa ndani wa klabu – Bodi au wanachama wa klabu hupitisha azimio la kujiondoa au kuvunja shughuli za klabu, kulingana na katiba ya klabu.
2. Kutoa taarifa rasmi – Klabu huandika barua kwa Tanzania Football Federation na mamlaka ya ligi ikieleza uamuzi na sababu zake.
3. Kutimiza wajibu uliopo – Klabu inapaswa kushughulikia madeni yake, mikataba ya wachezaji, makocha, wafanyakazi na wadai wengine. Klabu zenye madeni zinaweza kuzuiwa kushiriki mashindano hadi zitimize masharti ya leseni ya klabu.
4. Maamuzi ya TFF – TFF itaamua jinsi ya kushughulikia ombi hilo kwa kuzingatia kanuni za mashindano. Ikiwa klabu imejiondoa katikati ya msimu, inaweza kupewa adhabu zilizowekwa kwenye kanuni za ligi, pamoja na kufutiwa ushiriki katika mashindano hayo au hatua nyingine za kinidhamu.
Tanzania Football Federation
Kwa mfano, kama Azam FC ingetaka kuacha kabisa shughuli za mpira wa miguu, ingeweza kufanya hivyo kwa kufuata taratibu hizo. Lakini isingeweza kujiondoa leo kwenye Ligi Kuu Bara halafu kesho ikaanza kushiriki Ligi Kuu Zanzibar bila idhini na utaratibu wa vyombo vinavyosimamia soka.
Hivyo basi kwa taratibu inaonekana kama vile ni rahisi lakini uhalisia hilo jambo ni ndoto.
Hao wanafunzi wa sheria unaowazungumzia hapa ni akina nani?wanafunzi wa sheria huwa mnadhani protocol lazima zifatwe ili mtu afanikiwe kwenye jambo lake ila its not. Ukiwa tu mkubwa vya kutosha unaelewa kwamba things, people and laws can be manipulated to favor whatever agenda that fits your distinction. Azam kibongo bongo anaweza kufanya chochote bila kufata hizo taratibu ulizoziweka.
Tatizo unafikiri taasisi za kimataifa zinafanya kazi kwa mwendo wa kinyonga kama taasisi za Tanzania...Rudia kusoma uzi btn lines....soma horizontally na si vertically!
Mfano wa uliotoa wa Al hilal ni kitu tofauti kabisa na ishu ya Azam!Tatizo unafikiri taasisi za kimataifa zinafanya kazi kwa mwendo wa kinyonga kama taasisi za Tanzania...
Al hilal ya Ibenge mfano mzuri.
Inawezekana jina Hilo Hilo aongezi hata kupunguza ata nukta.Labda aipe jina lingine lakini si Azam, kwa kuwa hizi timu zitakuwa na muingiliano wa mashindano kama kombe la Muungano, Kagame, Club bingwa/shirikisho Africa n.k na hapo tayari kutakuwa na conflict of interest ambapo kanuni/ sheria za Fifa/Caf haziruhusu mmiliki kuwa na club zaidi ya moja zinazoshiriki mashindano yanayoingiliaba!
Hapo labda auze Azam ya Bara, ama aibadili jina( but hapa pagumu kama ataendelea kumiliki azam ya bara, conflict of interest). Ama hapa anunue hiyo timu Zenji na aipe jina lingine au ibaki na jina awali lakini si kuwa na azam mbili.
Kwani akiita Azam United badala ya Azam FC siinawezeka kabisa?? HahahahahaLabda aipe jina lingine lakini si Azam, kwa kuwa hizi timu zitakuwa na muingiliano wa mashindano kama kombe la Muungano, Kagame, Club bingwa/shirikisho Africa n.k na hapo tayari kutakuwa na conflict of interest ambapo kanuni/ sheria za Fifa/Caf haziruhusu mmiliki kuwa na club zaidi ya moja zinazoshiriki mashindano yanayoingiliaba!
Hapo labda auze Azam ya Bara, ama aibadili jina( but hapa pagumu kama ataendelea kumiliki azam ya bara, conflict of interest). Ama hapa anunue hiyo timu Zenji na aipe jina lingine au ibaki na jina awali lakini si kuwa na azam mbili.
Ainunue timu e.g Forodhani auze wachezaji wote wa azam FC wahamie Forodhani kisha azam ishuke madaraja mpaka ikifika mwisho kabisa anibadilisha jina hiyo timu ya Forodhani inaitwa Azam Cream FCLabda aipe jina lingine lakini si Azam, kwa kuwa hizi timu zitakuwa na muingiliano wa mashindano kama kombe la Muungano, Kagame, Club bingwa/shirikisho Africa n.k na hapo tayari kutakuwa na conflict of interest ambapo kanuni/ sheria za Fifa/Caf haziruhusu mmiliki kuwa na club zaidi ya moja zinazoshiriki mashindano yanayoingiliaba!
Hapo labda auze Azam ya Bara, ama aibadili jina( but hapa pagumu kama ataendelea kumiliki azam ya bara, conflict of interest). Ama hapa anunue hiyo timu Zenji na aipe jina lingine au ibaki na jina awali lakini si kuwa na azam mbili.