luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
OkayKwa sasahivi plascon wana rangi bora sana,ndio maana wana bei kubwa kuliko hizo nyingine,coral na goldstar wanafuatia
Watu wa Dar jaman, mambo ya viwandani tu na tusio na viwanda tunawaonea donge kweli kweli.Plascon, nenda kanunue kule kiwandani kwao pale karibu na mataa ya Vinginguti...
Andaa tu pesa...
Upo mkoa gani mbona rangi zipo kote,labda uwe interior sanaWatu wa Dar jaman, mambo ya viwandani tu na tusio na viwanda tunawaonea donge kweli kweli.
Naona viwandani Bei inakuwa km imepoa flani hvi, ama ni sababu gani unafanya watu waende viwandani mkuu? Kupoa kwa Bei ama kufata tu bidhaa bila kujali Bei?upo mkoa gani mbona rangi zipo kote,labda uwe interior sana
Viwandani bei inakua chini kidogo,alafu watu wanapenda bidhaa ambayo haijakaa sana stock kama madukani,unaweza kuta ndoo zina zaidi ya miaka miwili hazijauzika inategemea na rangi yenyewe lakiniNaona viwandani Bei inakuwa km imepoa flani hvi, ama ni sababu gani unafanya watu waende viwandani mkuu? Kupoa kwa Bei ama kufata tu bidhaa bila kujali Bei?
Kwa rangi ya Plascon kiwandani ni bei kubwa zaidi ya kariakooNaona viwandani Bei inakuwa km imepoa flani hvi, ama ni sababu gani unafanya watu waende viwandani mkuu? Kupoa kwa Bei ama kufata tu bidhaa bila kujali Bei?
Japo iyo ni material ngumu ikapigwa rangi unayo ipenda juuNipo fundi pia wa rangi hapa tunaweza kufanya kazi pamojaView attachment 2062313
Ahaa okKampuni.za rangi.bora ziko.tatu Tanzania ya kwanza inatokea falme za kiarabu UAE inatawi.lake hapa Tanzania Kama distributer dar kariakoo inaitwa jotun paint ya pili huyu.ni mhindi anaitwa plascon paint former ilikuwa inajulikana Kama sadolin ya tatu.ni goldstar.paint hyo.ndo tatu.bora hao.wengine sijui coral billion bado Sana karibun kwa huduma na ushaur.fund rangi na decorations za nyumba call or wasup.0757735884