Je, ni sababu gani ya Kisayansi hufanya maua ya alizeti kugeukia mashariki wakati wa kuchanua?

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.

NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
 
Mhn! Lakini jua huwa linachomoza mashariki na kuzama magharibi. Sina uhakika kwanini yanaelekea mashariki kama ni kweli unachosema. Hata hivyo mimea yote ili ikue inahitaji mwanga. Pengine sunflower inahitaji mwanga zaidi😄

Jibu langu siyo la kisayansi. Was just thinking out loud. Tusubiri wajuvi.
 
Jua la asubui lina virutubisho sana kwa matunda ya mimea,hivyo ndio maana zinageukia jua linapochomozea
 
Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.

NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
Swali zuri sana mkuu.Jibu ni kwamba,alizeti zinapokuwa zimeweka maua huwa zina move in responce to light,sababu ni kwamba Alizeti ni zao ambalo lipo sensitive sana kwenye mwanga wa jua.Hayo ni mambo ya hormonal responce.Aidha mavuno ya alizeti huwa makubwa kwa kutegemea pia kiasi cha mwanga unaofikia mmea huu wa Alizeti (Light interception),Mfano ulikilima alizeti Njombe mavuno yatakuwa kidogo kuliko atakayelima Singida au Dodoma,hata km mambo mengine yameenda sawia kote,kwasababu Njombe mwanga wa jua ni kidogo,wakati Singida na Dodoma kuna mwanga wa jua wa kutosha.
 
Mhn! Lakini jua huwa linachomoza mashariki na kuzama magharibi. Sina uhakika kwanini yanaelekea mashariki kama ni kweli unachosema. Hata hivyo mimeo yote ili ikue inahitaji mwanga. Pengine sunflower inahitaji mwanga zaidi😄

Jibu langu siyo la kisayansi. Was just thinking out loud. Tusubiri wajuvi.
Nimefuatilia mkuu tangu March kila nilikokwenda nimeona % kubwa zinageukia east
 
Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.

NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
Ndo maana wakaupa jina “sunflower” yaani ua linalofuata jua. Ikiwa asubuhi utauona mashariki na jioni unakwenda magharibi, ila ukishakomaa lile ua linazidiwa uzito wa mbegu hivyo basi kwa kawaida halifuati tena uelekeo wa jua bali huegemea upande wa jua linapochomoza(mashariki).
 
Swali zuri sana mkuu.Jibu ni kwamba,alizeti zinapokuwa zimeweka maua huwa zina move in responce to light,sababu ni kwamba Alizeti ni zao ambalo lipo sensitive sana kwenye mwanga wa jua.Hayo ni mambo ya hormonal responce.Aidha mavuno ya alizeti huwa makubwa kwa kutegemea pia kiasi cha mwanga unaofikia mmea huu wa Alizeti (Light interception),Mfano ulikilima alizeti Njombe mavuno yatakuwa kidogo kuliko atakayelima Singida au Dodoma,hata km mambo mengine yameenda sawia kote,kwasababu Njombe mwanga wa jua ni kidogo,wakati Singida na Dodoma kuna mwanga wa jua wa kutosha.
Asante sana kiongozi🙏🙏✍️
 
Ndo maana wakaupa jina “sunflower” yaani ua linalofuata jua. Ikiwa asubuhi utauona mashariki na jioni unakwenda magharibi, ila ukishakomaa lile ua linazidiwa uzito wa mbegu hivyo basi kwa kawaida halifuati tena uelekeo wa jua bali huegemea upande wa jua linapochomoza(mashariki).
🙏
 
Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.

NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
Sijui sababu, ila tumeimba hii seminarini nyimbo like a sunflower which follows every movement of the sun So i come to ask you to follow you my My Lord, kama nakumbuka vizuri mashairi
 
Mmea wa Alizeti una tabia mbili zinazohusu mwenendo wake na Mwanga(Light) ambazo wataalamu wanaita Phototropism na Heliotropism.... Hicho ulichoona wewe ni Heliotropism:-

Heliotropism - Hii ni tabia ya Mmea wa Alizeti kufuatilia mienendo ya jua angani hasa ukiwa bado upo kwenye immaturity stage na lengo haswa ni kufuata Mwanga wa Jua ulipo(Hivyo basi, kwa kua Jua huchomoza upande wa Mashariki basi ndiyo maana kila asubuhi Mmea wa Alizeti huelekea upande wa Mashariki Ili kupata Mwanga wa Jua zaidi, lakini pia kadri Jua linavyosogea kwenda upande wa Magharibi Mmea wa Alizeti huwa unaelekea Magharibi pia japo ni kwa kiasi kidogo.

Bila shaka hiyo ndiyo sababu.
 
Aiseee! JF ndio maana naipenda. Kwanza nisingeweza kufikiria hili swali, na hata ningefiria kwa haraka haraka ningejijibu kuwa linaitwa Sunflower 🌻 sababu ya muonekano wake kama 🌞

😅😅
 
Sunflowers can grow in all 50 states. They thrive in environments where they can receive six or more hours of direct sunlight, so naturally, sunflowers prefer the longer lit days of summer.

Sunflowers can survive in extreme heat, but they grow best in temperatures between 70 to 78 degrees. Not only that, but sunflowers can tolerate periods of drought as long as they receive enough water while their roots are growing.

Speaking of growth, you may have noticed newer sunflowers tend to move more compared to older sunflowers. So, why is that?

At dawn, all sunflowers will start off the day facing east, getting ready for the sun to emerge over the horizon. As the sun moves across the sky as the day goes on, only the younger sunflowers will follow along and pivot to the west.

Once the sun sets in the western sky, those young sunflowers will slowly turn back to east during the night, waiting for the sun to rise once again.

This sun tracking movement is known as heliotropism, and it happens less as sunflowers grow older. Once the sunflower matures, it stops following the sun and just stays facing east.
That answer comes down to their stems. The stems of young sunflowers grow more during the night, but only on the west side which allows the sunflower head to bend eastward. During the day, the stem's east side grows, resulting in a swaying motion to the west with the sun.
 
Sijui sababu, ila tumeimba hii seminarini nyimbo like a sunflower which follows every movement of the sun So i come to ask you to follow you my My Lord, kama nakumbuka vizuri mashairi
🤣😅🙏✍️
 
That answer comes down to their stems. The stems of young sunflowers grow more during the night, but only on the west side which allows the sunflower head to bend eastward. During the day, the stem's east side grows, resulting in a swaying motion to the west with the sun.
🙏✍️
 
Aiseee! JF ndio maana naipenda. Kwanza nisingeweza kufikiria hili swali, na hata ningefiria kwa haraka haraka ningejijibu kuwa linaitwa Sunflower 🌻 sababu ya muonekano wake kama 🌞

😅😅
😅😀🤣
 
Back
Top Bottom