Je ni sahihi Afisa Habari wa taasisi moja kuisemea taasisi nyingine kuwa haina hela?

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Unajua nchi hii kuna mambo ya ajabu sana. Siku hizi mbili tatu nimewasikia maafisa habari wawili wa vilabu viwili tofauti wanatamka mbele ya vyombo vya habari kuwa Simba haina hela!

Nimemsikia Afisa Habari wa Singida, Masanza anasema Simba hawana bilioni 2 za kumnunua Jonathan Sowah.

Nimemsikia tena Afisa Habari wa Azam FC Zakazakazi akisema kwanza Simba hawajapeleka ofa yoyote kwa Azam ila cha kushangaza, akatamka pia, tena kwa msisitizo kuwa ili wamuachie Fiesal Salum, ni budi Simba waje na walau Bilioni 2.5 na akasema ila Simba hawana hiyo helaaa!!

Nimekaa nikajiuliza. Sawa, Bilioni 2 hizi na ushee ni pesa nyingi na hatujazoea kusikia timu zetu zikitoa pesa hizo kununua wachezaji, ila kimaadili tu na hata kisheria na kitaaluma, kuitaja taasisi nyingine kuwa haina hela imekaaje hiyo?

Kwanza afadhali hata yangekuwa yamefanyika majadiliano halafu yakakwama, kidogo na kwa mbali ungeweza kuona ana hoja, ungawa bado ukakasi utakuwepo maana makubaliano kushindikana haimaanishi kuwa mnunuaji hana hela, ni kwamba tu mmeshindwana. Sasa unakiri watu hamjawahi kuongea nao, wewe unaenda kwenye vyombo vya habari kusema ile taasisi haina hela. Daaah.

Tumekuwa taifa la hovyo mno aisee.
 
Nimemsikia tena Afisa Habari wa Azam FC Zakazakazi kwanza akisema Simba hawajapeleka ofa yoyote kwa Azam ila cha kushangaza, akatamka pia, tena kwa msisitizo kuwa ili wamuachie Fiesal Salum, ni budi Simba waje na walau Bilioni 2.5 na akasema ila Simba hawana hiyo helaaa!!

Nimekaa nikajiuliza. Sawa, Bilioni 2 hizi na ushee ni pesa nyingi na hatujazoea kusikia timu zetu zikitoa pesa hizo kununua wachezaji, ila kimaadili tu na hata kisheria na kitaaluma, kuitaja taasisi nyingine kuwa haina hela imekaaje hiyo?

Kwanza afadhali hata yangekuwa yamefanyika majadiliano halafu yakakwama, kidogo na kwa mbali ungeweza kuona ana hoja, ungawa bado ukakasi utakuwepo maana makubaliano kushindikana haimaanishi kuwa mnunuaji hana hela, ni kwamba tu mmeshindwana. Sasa unakiri watu hamjawahi kuongea nao, wewe unaenda kwenye vyombo vya habari kusema ile taasisi haina hela. Daaah.

Tumekuwa taifa la hovyo mno aisee.
Wanajazana ujinga . Hao maafisa habarI wenyewe wanafugwa na shemeji zao.
 
Mo alithibitisha kuwa anawadai Simba billion 87
Hilo swali lako kamuulize mo Dewji
 
Siasa za mpira bongo hizo.

Akili za huyo msemaji imejaa KINYESI CHA BINADAMU...huwezi kutegemea kingine chenye akili kwa mtu ambaye hajasoma na mjinga

Wanajazana ujinga . Hao maafisa habarI wenyewe wanafugwa na shemeji zao.

Si sahihi, ni siasa za majitaka zimeamia hadi kwenye mpira

Kuna yule admin wa Club X mda mwingine anajisahau kabisa, yaani utadhani kama page ni ya Simba sc

Wasemaji/viongozi wa vilabu nje ya Simba na Yanga ni washabiki wa vilabu hivyo
Wanatakiwa wajue wakisimama kuongea na vyombo vya habari wanaongea kama wasemaji wa taasisi zao. Wakitoa kauli za ukakasi kama wako vijiweni ndiyo inaleta maswali haya.
 
Unajua nchi hii kuna mambo ya ajabu sana. Siku hizi mbili tatu nimewasikia maafisa habari wawili wa vilabu viwili tofauti wanatamka mbele ya vyombo vya habari kuwa Simba haina hela!

Nimemsikia Afisa Habari wa Singida, Masanza anasema Simba hawana bilioni 2 za kumnunua Jonathan Sowah.

Nimemsikia tena Afisa Habari wa Azam FC Zakazakazi akisema kwanza Simba hawajapeleka ofa yoyote kwa Azam ila cha kushangaza, akatamka pia, tena kwa msisitizo kuwa ili wamuachie Fiesal Salum, ni budi Simba waje na walau Bilioni 2.5 na akasema ila Simba hawana hiyo helaaa!!

Nimekaa nikajiuliza. Sawa, Bilioni 2 hizi na ushee ni pesa nyingi na hatujazoea kusikia timu zetu zikitoa pesa hizo kununua wachezaji, ila kimaadili tu na hata kisheria na kitaaluma, kuitaja taasisi nyingine kuwa haina hela imekaaje hiyo?

Kwanza afadhali hata yangekuwa yamefanyika majadiliano halafu yakakwama, kidogo na kwa mbali ungeweza kuona ana hoja, ungawa bado ukakasi utakuwepo maana makubaliano kushindikana haimaanishi kuwa mnunuaji hana hela, ni kwamba tu mmeshindwana. Sasa unakiri watu hamjawahi kuongea nao, wewe unaenda kwenye vyombo vya habari kusema ile taasisi haina hela. Daaah.

Tumekuwa taifa la hovyo mno aisee.
simba hela kama b2 wanaitoa wapi sasa?
hivi kama zaka za kazi angesema simba wanayo hela ya kumnunua feisal si pia angekuwa kaisemea timu,je ungeleta uzi kama huu angesema hivyo?
 
Simba inapambana vita vigumu sana vya nje na ndani ya uwanja.

Imewezesha kupeleka timu takribani 2 zaidi Kimataifa ila bado wanufaika wa hilo hawataki kuiheshimu. Ngozi nyeusi hatuna shukrani.
 
simba hela kama b2 wanaitoa wapi sasa?
hivi kama zaka za kazi angesema simba wanayo hela ya kumnunua feisal si pia angekuwa kaisemea timu,je ungeleta uzi kama huu angesema hivyo?
Huo ndiyo utetezi wako? Aisee!
 
Unajua nchi hii kuna mambo ya ajabu sana. Siku hizi mbili tatu nimewasikia maafisa habari wawili wa vilabu viwili tofauti wanatamka mbele ya vyombo vya habari kuwa Simba haina hela!

Nimemsikia Afisa Habari wa Singida, Masanza anasema Simba hawana bilioni 2 za kumnunua Jonathan Sowah.

Nimemsikia tena Afisa Habari wa Azam FC Zakazakazi akisema kwanza Simba hawajapeleka ofa yoyote kwa Azam ila cha kushangaza, akatamka pia, tena kwa msisitizo kuwa ili wamuachie Fiesal Salum, ni budi Simba waje na walau Bilioni 2.5 na akasema ila Simba hawana hiyo helaaa!!

Nimekaa nikajiuliza. Sawa, Bilioni 2 hizi na ushee ni pesa nyingi na hatujazoea kusikia timu zetu zikitoa pesa hizo kununua wachezaji, ila kimaadili tu na hata kisheria na kitaaluma, kuitaja taasisi nyingine kuwa haina hela imekaaje hiyo?

Kwanza afadhali hata yangekuwa yamefanyika majadiliano halafu yakakwama, kidogo na kwa mbali ungeweza kuona ana hoja, ungawa bado ukakasi utakuwepo maana makubaliano kushindikana haimaanishi kuwa mnunuaji hana hela, ni kwamba tu mmeshindwana. Sasa unakiri watu hamjawahi kuongea nao, wewe unaenda kwenye vyombo vya habari kusema ile taasisi haina hela. Daaah.

Tumekuwa taifa la hovyo mno aisee.
Elimu ndogo
 
sio utetezi nimeandika tu hapo,sioni cha kujitetea mbele ya kolouzdad kwani hawana hela kweli ya kumnunua feisali
Ulichokuja nacho ni utetezi kama vile umefumaniwa. Afisa Habari wa taasisi moja hawezi kutoka na kutangaza kuwa taasisi nyingine ina hela au haina hela, hiyo siyo kazi yake.
 
Back
Top Bottom