Je, ni sahihi Diamond kutumika kwenye Kampeni ya TUPO WANGAPI?

Je, ni sahihi Diamond kutumika kwenye Kampeni ya TUPO WANGAPI?

Usifuate matendo yangu
Fuata maneno yangu

Ondoa boriti katika jicho lako
Ndipo uone kibanzi kidogo katika jicho la mwenzako.......

sasa wewe unazungumzia nini, au ndo wale kesi ya nyani....loading....
 
Sioni tatizo, kwamba ana kadhfa? Nani aliye mkamilifu katika ulimwengu huu?
 
Ni sawasawa na kumtumia King Mswati katika campaign ya monogamy.
 
Back
Top Bottom