Je, ni sahihi kufanya mapenzi ukweni pale mnapokuwa mmeenda kutembea?

Je, ni sahihi kufanya mapenzi ukweni pale mnapokuwa mmeenda kutembea?

Iko hivi tumekuja nyumbani na kwao huyu mpenzi wangu kutambulishana, lkn muda wote ananisumbua nimpe na mimi kiukweli naogopa tukianza milio si itakuwa dharau kubwa kwa wakwe!

Mwanaume hatulii km jogoo la kiangazi linanifata kila ninakoenda. Jana ilibaki kidogo anile kwenye migomba!!! Alivyoanza kunishika minyege ikatupanda nataka kubinjua kikamba cha bikin nimpe chuma mboga. Mara mama yake akawa anaita “Mwali wangu bado hujamaliza kukata hizo ndizi?” Huku anatufata tulipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamani mwanaume alikimbia mpk akanisukuma nikadondoka km napiga sarakasi. Ikabidi nijifiche lkn najua alistukia mchezo mzima
Hahahahahha pole sana... Hahahahahaha
 
Back
Top Bottom