Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

Mkuu Mimi sikushauri umuoe huyo Bibi wanaume tunapenda ndogo ndogo kuna umri utafika huyo utamuona hapana hapa nilikosea njia huyu Bibi aliniwekea Dawa gani kwani maana ni km umerogwa vile miaka 8 sio kidogo, unaoaje Bibi kikongwe hawa wadogo wadogo wameisha au?
 
Hapo ni guardian angel msaa wa Kenya na mkewe Esther musila. Mke ana miaka 53 kama sijakosea na mume ana miaka 20 something au 30 something.
Issue ya kumuoa huyo mama mtoto wako au kutokumuoa ni uamuzi wako binafsi
View attachment 2917847
Kuoa Mwanamke mkubwa kiumri inataka moyo wa chuma, na chuma hua kinashika kutu
 
FOSSIL CALCULATION:

Your age×0.5 ( then add 7,8 or 9 utapata umri sahihi wa mwanamke wa kumuoa.)

Mfano:

Kama mwanaume una miaka 30 zidisha mara 0.5 = 15 kisha jumlisha 7 unapata umri wa mwanamke unayetaka kumuoa ni miaka 22. ( 30×0.5+7=22)

Hiyo ni law of nature, hata Adam hakuwahi kuzidiwa umri na Hawa.
 
Hapo ni guardian angel msaa wa Kenya na mkewe Esther musila. Mke ana miaka 53 kama sijakosea na mume ana miaka 20 something au 30 something.
Issue ya kumuoa huyo mama mtoto wako au kutokumuoa ni uamuzi wako binafsi
View attachment 2917847


Huwezi kujifunza kwa losers unabidi kujifunza kwa winners

The guy is still young afanye maamuzi kwa kutazama zaidi watoto wake na future yake After 20 years
 
Kwavile mambo yameshakua mengi (mmeshazaa) na unasema mnapendana, mimi nakushauri we muoe huyo shangazi. Yeye muweke ndani atakua mama wa watoto wako.
Hawa dogodogo wa nje si utaendelea kujichapia tu kama kawaida kwani kuna tatizo?
 
Mimi nimeolewa na umri mkubwaaaa
Vice versa is true, huwezi kukubari uolewe na kijana mdogo

Mfano mdogo wewe una miaka 14

14-8 = 6

Yaan utakubari kweli kiingie hapo cha huyo mtoto wa miaka 6, ushanielewa? Alafu mbaya zaidi mnawahi kuzeeka ukifika 40 tu Jamaa anakukataa ye yupo 32 bado kijana barobaro kabisa, miaka 8 sio kodogo
 
Lakini mtaani wapo na tunawaona au tusubirii wata achana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…