Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

Hapo ni guardian angel msaa wa Kenya na mkewe Esther musila. Mke ana miaka 53 kama sijakosea na mume ana miaka 20 something au 30 something.
Issue ya kumuoa huyo mama mtoto wako au kutokumuoa ni uamuzi wako binafsi
_20240227_060753.JPG
 
Mkuu Mimi sikushauri umuoe huyo Bibi wanaume tunapenda ndogo ndogo kuna umri utafika huyo utamuona hapana hapa nilikosea njia huyu Bibi aliniwekea Dawa gani kwani maana ni km umerogwa vile miaka 8 sio kidogo, unaoaje Bibi kikongwe hawa wadogo wadogo wameisha au?
 
Hapo ni guardian angel msaa wa Kenya na mkewe Esther musila. Mke ana miaka 53 kama sijakosea na mume ana miaka 20 something au 30 something.
Issue ya kumuoa huyo mama mtoto wako au kutokumuoa ni uamuzi wako binafsi
View attachment 2917847
Kuoa Mwanamke mkubwa kiumri inataka moyo wa chuma, na chuma hua kinashika kutu
 
FOSSIL CALCULATION:

Your age×0.5 ( then add 7,8 or 9 utapata umri sahihi wa mwanamke wa kumuoa.)

Mfano:

Kama mwanaume una miaka 30 zidisha mara 0.5 = 15 kisha jumlisha 7 unapata umri wa mwanamke unayetaka kumuoa ni miaka 22. ( 30×0.5+7=22)

Hiyo ni law of nature, hata Adam hakuwahi kuzidiwa umri na Hawa.
 
Hapo ni guardian angel msaa wa Kenya na mkewe Esther musila. Mke ana miaka 53 kama sijakosea na mume ana miaka 20 something au 30 something.
Issue ya kumuoa huyo mama mtoto wako au kutokumuoa ni uamuzi wako binafsi
View attachment 2917847

Huwezi kujifunza kwa losers unabidi kujifunza kwa winners

The guy is still young afanye maamuzi kwa kutazama zaidi watoto wake na future yake After 20 years
 
Habar wakuu,

Naombeni ushauri wenu juu ya hili, Mimi Nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8 uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu Mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua Mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa,

Tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka Sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana yan nishapenda.

Je swali langu ni sahihi tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?

Naombeni ushauri wenu.
Kwavile mambo yameshakua mengi (mmeshazaa) na unasema mnapendana, mimi nakushauri we muoe huyo shangazi. Yeye muweke ndani atakua mama wa watoto wako.
Hawa dogodogo wa nje si utaendelea kujichapia tu kama kawaida kwani kuna tatizo?
 
Mimi nimeolewa na umri mkubwaaaa
Vice versa is true, huwezi kukubari uolewe na kijana mdogo

Mfano mdogo wewe una miaka 14

14-8 = 6

Yaan utakubari kweli kiingie hapo cha huyo mtoto wa miaka 6, ushanielewa? Alafu mbaya zaidi mnawahi kuzeeka ukifika 40 tu Jamaa anakukataa ye yupo 32 bado kijana barobaro kabisa, miaka 8 sio kodogo
 
Lakini mtaani wapo na tunawaona au tusubirii wata achana?
 
Back
Top Bottom