Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

Usahihi wa kufunga ndoa, unajengwa katika msingi mkuu wa UPENDO (kupendana) na umri unaokubalika katika jamii wa kuoa ama kuolewa.

Hata kama amekuzidi miaka 30 as long as Mnapendana OANENI
Sawa boss
 
[emoji849]
 
Hata akikuzidi 50 ni sahihi
 
Kwavile mambo yameshakua mengi (mmeshazaa) na unasema mnapendana, mimi nakushauri we muoe huyo shangazi. Yeye muweke ndani atakua mama wa watoto wako.
Hawa dogodogo wa nje si utaendelea kujichapia tu kama kawaida kwani kuna tatizo?
Nimekuelewa mkuu
 
Ujinga mwingine ndiyo huu sasa, three years mnafanya zinaa hadi mtoto hukujua kakuzidi umri.

Umepagawa naye unaona ukimuacha wengine watafaidi ndipo unashtuka hivi 'umri utafaa kweli na huyu kikongwe?'

Wewe mwambie akuoe msongeze maisha, huyo ni chagua lako hakuna mwengine zaidi yake, huyo ni chaguo lako!.
 
Hio ni fursa mkuu especially kama mwanamke ni mrembo kama Zarinah Hassan mama tiffa ila awe na mpunga tu na awe ndio amezaa mtoto pekee na wewe. Kama lishangazi halina hela ni kujidhulumu kwani hata mabinti wadogo wanapenda wazee ila sio kama akina majuto na mhogo mchungu😂
 
Rais wa Ufaransa alimuoa Mwalimu wake wa Hesabu alipokuwa Sekondari. Mapenzi yana nguvu sana na mapenzi yana sababu nzito kwa mtazamo wa yule anayependa. mfano wewe unaweza kutoa sababu kuwa anajua sana kulea. Atamlea mwanao atakulea na wewe pia.
 
Mtoto wake wakike nimempita miaka 16.
 
Kwa vyovyote unampenda sana ndiyo maana mna Mtoto kilichopo funga naye Ndoa mlee Mtoto/Watoto wenu.
 
Ishi nae uchumba sugu, ndoa funga ukiwa unakaribia kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…