Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

Umri hauna mauhusiano na mapenzi mkuu!

Kama unafuraha ukiwa nae,ukiwa peke yako unamfurahia ukimuwaza!!Go for it for your happiness!!!!

Kama unaiogopa ndoa yaani ukiiwaza ndoa unaiogopa usifunge ishi nae TU!

Why!!?

Coz anaweza kuwa mwema kwako akiyataka makaratasi tu ya ndoa ambayo Yana faida Kwa mwanamke na sio mwanamme!!


MATATIZO HUANZA BAADA YA KUFUNGA NDOA,WENZETU WAKIKIPATA WALICHOKUA WANAKITAKA HUBADILIKA SANA NA SARAKASI HUANZIA HAPO!!
 
Tumetifautiana miezi yaani kanizidi miezi 4 nilioa kwakuwa sikujua kwani cheti chake cha kuzaliwa kaongeza mwaka mmoja

Ebanaee alivyojua birthday yangu ya kweli izo zarau najuta kwanini nmeioa hii mbuzi hapa namtafutia sababu cku akiingia king namtimulia mbali.

Ushauri kwako sina mkuu kwani mapenzi hayana formula kila mtu anapuyanga kivyake
 
Kiakili tayari kakuzidi huyo tafuta unayemzidi iko siku utashukuru na iko siku utajuta
Ni kweli mkuu wanawake wakubwa ni wazuri kwenye utafutaji wengi wamekomaa kiakili huwa wanapambana sana ila kwenye suala la heshima wako vibaya sana ni wana dharau sana na cku zote wanaume tunapenda kuheshimiwa na wake zetu
 
Sasa unataka kushauriwa eneo gani?

Mtoto umeshapata nae, mnaishi pamoja, mna miaka 3 ya mahusiano, unampenda na yeye anakupenda, sasa shida ipo wapi?

Umri sio tatizo kama mnawezana. Ila ingekuwa ndio kwanza mnaanza ningesema unakwenda kukosea na unaingia choo cha kike ila kwa hapa umeshaingia tayari nenda tu kwao katoe posa, toa mahari tembeza kadi hizo za michango kiwake.
 
Mna miaka mingap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…