Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Situmiagi taulo za gesti.Wakuu nipo mda huu gest. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gest ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gest huwaga niwakuridhisha?.
Sio sahihi, inabidi demu wako aje na kanga au kitenge viwe 2, chako na chake...
Mtumie kuogea tu...
Maana Taulo za gesti zinatumika na watu wengi sio salama...
UZINZI ni dhambi...
Mwisho wa siku unajikuta mnakiogopa kitu wote na kujikuta taulo imenunuliwa haijatumikaSitumiagi taulo za gesti.
Hayo ni mataulo unaweza kulisimamisha likasimama kama bati kwa ya kufutiwa manii.Wakuu nipo mda huu gest. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gest ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gest huwaga niwakuridhisha?.
Amesema zile za short time. Hizo nyumba kwa kweli siyo guest house bali ni madanguro, nyingine zinakuwa bize hadi mnakaa foleni,ukiingia chumba kinanuka papuchi na jasho.Wee naye bure kabisa Mkuu, hivi unadahani kila wanaolala guest house na lodge wote ni wazinzi? .
Yawezekana wewe bado waishi eidha kwa Shemeji yako au wazazi wako, hujaingia kwenye mfumo rasmi wa utafutaji.
Hua zinanuka papuchi na jasho la kibeberuMwisho wa siku unajikuta mnakiogopa kitu wote na kujikuta taulo imenunuliwa haijatumika
Mwanaume una ngozi nyororo seriously?Wakuu nipo mda huu gest. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gest ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gest huwaga niwakuridhisha?.
Kuwa gest na uzinzi vinaendana vp?, anyway asante kwa ushauri wako nimeupokeaSio sahihi, inabidi demu wako aje na kanga au kitenge viwe 2, chako na chake...
Mtumie kuogea tu...
Maana Taulo za gesti zinatumika na watu wengi sio salama...
UZINZI ni dhambi...
Jipende acha kulala gest za ovyoWakuu nipo mda huu gest. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gest ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gest huwaga niwakuridhisha?.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787], kitu nyororoMwanaume una ngozi nyororo seriously?
Hutumiki wewe kweli?
We jifutie tu ni kawaida tuWakuu nipo mda huu gest. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gest ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gest huwaga niwakuridhisha?.
Unatafuta nini hapo gesti bwashee 🙄Wakuu nipo mda huu gest. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gest ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gest huwaga niwakuridhisha?.