Je, ni sahihi kujifutia taulo la gest?

Je, ni sahihi kujifutia taulo la gest?

Wakuu nipo mda huu gesti. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gesti ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gesti huwaga ni wa kuridhisha?.

Yaani una ngozi nyororo halafu umeenda gest za show time aisee toka huko utaparuliwa
 
Wakuu nipo mda huu gest. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gest ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gest huwaga niwakuridhisha?
Mimi huwa natumia mataulo ya hotelini tu kwa mfano Gran Melia ni mwendo wa mataulo mapya tu kwani huwezi lipia million 2 halafu utumie taulo alilotumia mtu mwingine tena Dem mwenye fungus sugu alilitumia Jana yake hata Kama lifuliwe na nini No
 
KIAYI [emoji23][emoji23]
 
Taulo.
Screenshot_20220713-160730.jpg
 
Wakuu nipo mda huu gesti. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gesti ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gesti huwaga ni wa kuridhisha?
Aina ya wanaume mafimafi sana kila siku kufungua nyuzi za hovyo hovyo.
Kei wewe
 
Back
Top Bottom