Je ni sahihi kukamata watu wakajifunze Mgambo?

Je ni sahihi kukamata watu wakajifunze Mgambo?

The MoNA

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
4,264
Reaction score
10,510
Arusha.
Kumetokea kamata kamata ya watu isipokua wazee, wenye ujauzito, vilema, na watoto u-18, wakacheze mgambo kwa lazima huko namanga mpaka wa tz na ke.
Je, ni sahihi kwenye hili?
Je, ni kwa Tz nzima? kama ndio je sehemu zingine wameanza au muda bado?
Je, mamlaka haya ni kutokea wapi na kwa nani?
Kumbuka sio kwa hiari ni lazima, uwe na kazi au hauna.
Kazi hasa hawa mgambo itakua ni nini?
 
Kama hawana kazi maalumu bora wakamatwe tu kwa kweli. Unajua kwamba Mjerumani asingewatia mboko babu zetu, leo tusingejua kusoma na kuandika?

Kama ni kitu kizuri, nashauri wapigweeeee tu, ila wasiwaue!
 
Back
Top Bottom