Je ni sahihi kukataa kumtibu mtu kisa ni mtu mzima unayemuheshimu

Sina mood

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
248
Reaction score
1,442
Kwa watu wazima rika la mama yako either ni mama wa rafiki zako wakaja hospitali kupata huduma na wakakukuta wewe ,japo na madaktari wengine pia wapo, na matibabu yao yanataka kuwa expose sehemu zao za siri, je ni sahihi kukataa kuwatibu na kuomba daktari mwengine amtibu kwa kigezo cha kuwaheshimu na kuogopa kuangalia maumbile yao ya ndani kwa kuwa tu ni mama wa rafiki zako?
 
Waambie sawa waendelee ila wasije kukusumbua baadae
 
Wewe ni doctor?
 
Ndio ni sahihi ndio maana hakuna mambo ya umri ukishakuwa daktari wewe watibu tu achana na mambo ya aibu Hayo ni mambo ya kawaida kwa madaktari.
 
Kama umesomea udaktar si vzur kumtibu mtu wa karibu sababu ikitokea kafa yanaeeza zuka maneno
 
Dogo bado unaendelea na nyuzi zako za kiuanafunzi
Maliza kwanza shule utakuja kushangaa kama ni wewe uloandika hizi thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…