Je ni sahihi kukodi 'wajasiriamali' wa Kulia msibani?

Je ni sahihi kukodi 'wajasiriamali' wa Kulia msibani?

Huko tunakokwenda siyo tu kukodi waombolezaji bali watu wenye uwezo watakodi hadi huduma za mazishi [emoji108][emoji108]

Yani kama Ulaya na America wafanyavyo!
 
Siku hizi wenye hela wanatumia Catering serves kulisha misibani ,

Hakuna yale mambo ya kienyeji ya kusubiri majirani wapike ambapo wengine hufanya mgomo baridi makusudi kukomoa wafiwa Eti kwa madai wao Mbona hawapiki kwenye misiba ya wenzao [emoji3526][emoji3526]

Yani maskini haishi nongwa sijui kwanini?!

Tupendane , tusitafutane makosa!
 
Back
Top Bottom